Recent content by Von Dee

  1. Von Dee

    JamiiForums Tanzania ITV Tanzania huo u ‘super brand’ nani aliwapa? Je, ni tuzo ya kudumu?

    Kwenye taarifa ya habari ya ITV unakuta hata sura ya mtangazaji haionekani vizur kabisaa😁 sielewagi kama shida ni camera wanazotumia au ni quality mbovu ya picha ya TV yangu😆😆
  2. Von Dee

    JamiiForums Tanzania Rose Migiro: Polisi hailindi CCM, inawalinda wananchi

    Hata kingereza kuna chakuandika na kuongea😎
  3. Von Dee

    JamiiForums Tanzania Watu wanazeeka aisee! Kweli mimi wa kuwapa shikamoo classmates?

    Kuona mabadiliko mengi ya mwenzako kunamaanisha wewe hubadiliki😎
  4. Von Dee

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wako wa JamiiForums (jina) chanzo chake ni nini?

    Kuna mchumbaangu enzi za miaka ya 2016/2017 alikuwa anaitwa Amina ila nkawa namwita Minah ili kuleta uzungu kidogo alafu yeye ananiita Dee.. Kwahiyo likazuka jina la "kapo" yetu "Minah Von Dee" 😎 Tulivyoachana nikabaki na hiyo "VON DEE" ye akaenda 😁😁
  5. Von Dee

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa Sokoni Dar

    Anaeibiwa apo nae anaiba kwenye eneo lake la kazi.. mjini ni kuviziana tu karibu kila mtu mwizi
  6. Von Dee

    JamiiForums Tanzania Tangu mwaka 2026 uingie, umefanya lipi la maana?

    Sasa kumpenda mke wako ndio mafanikio? 😂😂 Be a man bro😀
  7. Von Dee

    JamiiForums Tanzania Tangu mwaka 2026 uingie, umefanya lipi la maana?

    Hayo sio mafanikio mzee 😂😂 Usiniulize kwanini
  8. Von Dee

    JamiiForums Tanzania Kila mwenye Iman aombe kwa ajiri ya Taifa hili😭😭

    Na anaitwa "Mheshimiwa" 😂😂😂
  9. Von Dee

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsaidia Mtu kile Kidogo kabisa ulichonacho kisha baada ya kumsaidia akaingia Mitini hana Habari na Wewe unajua inauma Kiasi Gani?

    Sio lazima napengine hujui labda msaada ulompa haukumfikisha huko unakodhani wewe amefika.. Ukishasaidia part yako imeisha usisubiri shukrani wala fadhila.
  10. Von Dee

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kumsaidia Mtu kile Kidogo kabisa ulichonacho kisha baada ya kumsaidia akaingia Mitini hana Habari na Wewe unajua inauma Kiasi Gani?

    Msaada sio deni kama uliutoa kwa moyo.. ila kama ulimkopesha sawa nenda kamdai.
  11. Von Dee

    JamiiForums Tanzania Kizungumkuti barabarani! Ving'ora vitatu

    Eti wiieew krooo krooo... 😂😂😂😂
  12. Von Dee

    JamiiForums Tanzania Tarehe yako ya kuzaliwa na maana yake

    Hapo kwenye tarehe 24 kama nmekuelewa ivi 🌝
  13. Von Dee

    JamiiForums Tanzania Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

    Anachoulizwa ndo anakifanya apoapo 🤔
Back
Top Bottom