Umeandika upumbavu mtupu!
NO REFORMS NO ELECTION NO REFORMS NO ELECTION NO REFORMS NO ELECTION NO REFORMS NO ELECTION NO REFORMS NO ELECTION NO REFORMS NO ELECTION NO REFORMS NO ELECTION NO REFORMS NO ELECTION
Wewe
Wewe ni mojawapo ya ma-CCM mliopo nyuma ya huu ujinga wa kutuma wahuni kwenda kuvuruga mikutano ya CHADEMA. wewe ni m*wa Kokomo usiyejitambua,kafiri mkubwa pumbavu sanaaaa
Ieleweke wazi kwamba hata wewe GENTAMYCINE ni sehemu ya wanufaika wa uozo unaoendelea nchini kwa sasa!
Gwajima amekuwa mwana CCM wa kwanza kujitokeza na kumfunga Paka kengele!
Toa ushauri badala ya kauli yako kujiona mjuaji zaidi,huku ukijificha nyuma ya Key-board .
GWAJIMA ni shujaa wa kizazi...
Mtu aliepaswa kusema,kutoa kauli yenye kukemea huu uozo ni Jakaya Kikwete.......
Lakini kwa bahati mbaya ni kwamba yeye ndie kinara wa haya yoote!
Yeye ndie mshauri wa Samia!
JK ndie mzee mwandamizi kwenye vikao vya CCM.
JK ndie anaongoza kwa remote maamuzi mengi kati ya haya tunayoyalalamikia...
Na huu ndio upuuzi mkubwa wa watanzania,kwamba mtu anaongea ukweli,lakini kwa sababu tu yeye ni mwana CCM basi anaitaka uraisi.
Je! Kwa nini usifikirie vinginevyo,kwamba yeye amejiongeza mapema ili kujitenga na mambo ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu.
Bunge liko kikao chake cha mwisho kabla ya...
Mleta hoja una upungufu wa uelewa kwenye mambo ya msingi kabisa.Wewe unaongozwa na ubinafsi uliojaa chuki moyoni.kila mtanzania anayo haki ya kugombea au kuteuliwa katika nafasi yoyote ile ilimradi awe anakidhi vigezo.Wewe taahira kama huna vigezo waache wenye vigezo waingie.
Huwezi zuia nafasi...
Mimi nilikuwepo live siku hiyo hapo hapo uwanja wa Taifa .nilishuhudia zoezi likianza kwa kupitisha vifaeu na mizinga iliyotekwa toka Uganda na hiyo ilikuwa baada ya Gwaride la majeshi na chipukizi kumalizika.
Ndipo zikafuatia Ndege na hatimae hiyo ajali kutokea.Mwalimu alipewa taarifa rasmi ya...
Tatizo hapo litakuwa ni aina ya kiwango ambacho kimejengwa kwenye hiyo miradi.
Tunaijua sifa kubwa ya wakandarasi wazawa nayo ni upigaji.
Barrick kama wao....janja janja huwa haina nafasi.Halafu nikushairi ufuatilie huko kwa wahusika badala ya kuja huku kwa Maxence Mello!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.