Recent content by Voice Of Tanganyika

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

    We msaidie tu mzee upwiru unakaba koo
  2. V

    JamiiForums Tanzania Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

    Bado lolote linatokea hivi umewaza mzunguko ujao yanga na Al hilal wakasare na mazembe na alger wakasare pia ina mana game ya mwisho yanga akimfunga Alger Kwa mkapa anafuzu bila kujali matokeo ya mazembe na al hilal so hapo point 4 yanga zinauwezo wa kumbeba Hila point 6 ni uhakika zaidi sababu...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

    Si kweli yanga akishinda game zake anafuzu bila kujali matokeo ya mwegine yeyote
  4. V

    JamiiForums Tanzania Kupatwa kwa walimu tena!

    Sasa huyu anatafuta nini mbona pesa ni hizo hizo tu
  5. V

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukifika miaka 30 hakikisha una moja kati ya hivi

    Kwenye maisha akuna kuchelewa Wala Kuwait kikubwa uzima
  6. V

    JamiiForums Tanzania KERO Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, uwepo ufumbuzi wa changamoto hizi wanazopata waombaji wa ajira kupitia mfumo wa 'Ajira Portal'

    Ndugu zangu kwa manufaa ya wapambanaji wote. Mimi sio mzuri wa lugha kwahiyo kwenye mapungufu tuvumiliane zaidi naamini ujumbe utaeleweka . Leo nimeamua kushare hili suala na watanzania wezangu na naamini pia wenye mamlaka watalipitia hapa na ufumbuzi utapatikana kwa haraka zaidi kuondoa...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Double Standard: Kwa mwaka huohuo mmoja wa kalenda, Sherehe za Mapinduzi Zanzibar sawa, ila Sherehe za Uhuru wa Tanganyika hapana

    Wazanzibari wabinafsi sana tumefanya makosa makubwa sana kukabidhi nchi kwa chura wa kizanzibari na bado tutaisoma
  8. V

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Wanafunzi waliofukuzwa shule kisa wazazi wao kuwa CHADEMA, warudishwa shuleni

    Jumba bovu anaangushiwa mwalimu hapo lakini kiuhalisia hayo ni maelekezo kutoka kwa Samia chura kiziwi wa zenji
  9. V

    JamiiForums Tanzania Zanzibar waheshimiwe

    Tunataka Tanganyika yetu
  10. V

    JamiiForums Tanzania Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Aisee chajongea
  11. V

    JamiiForums Tanzania Simba ni kubwa kuliko Kibu

    Acheni longo longo mpeni pesa anayotaka . Mtoto wa watu kazi anaipiga sana
Back
Top Bottom