Recent content by VOICE OF KAHAMA

  1. V

    JamiiForums Tanzania Loan Officer Access Bank

    We magamba matatu Pokea ushauri huu! weka avarta ya Rostam, chenge na Lowassa
  2. V

    JamiiForums Tanzania Waziri awashusha vyeo maafisa Elimu na Wakuu wa shule

    Hivi majaliwa anadhani hatujui jinsi wizarani wanavyogawana posho kwa kikao cha do 30 tu watu wanapeana bahasha za kaki zenye malaki ya pesa. Hao wakuu najua walikuwa wanashinikizwa na huyo Afsa Elimu.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mume akataa mke wake asizalishwe kwa upasuaji siku ya CCM ili mtoto wake asichukiwe kama CCM

    Mkuu, Mimi nipo kahama na ninawafamu kabisa na saa kumi na mbili ya asubuhi hii ndugu wanasema atakuwa Theater.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mume akataa mke wake asizalishwe kwa upasuaji siku ya CCM ili mtoto wake asichukiwe kama CCM

    Katika hali ya kushangaza na kusikitisha, bwana mmoja kutoka mtaa wa Nyahanga wilayani kahama amegoma kutia saini ili mke wake aliyelazwa ktk Hospital ya wilaya kahama aweze kufanyiwa upasuaji, kisa, Bwana huyo amesema hataki mwanaye azaliwe siku ambayo CCM ilizaliwa, amedai CCM inachukiwa...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Ahsante serikal kwa ajira za walimu 2014.

    Ukiona unapata mademu wengi sana Gheto pia hutakosa kiwanja Makaburini.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Lowassa apata za uso jijini Mbeya kutoka kwa JK

    Hii jeuri ya Jk kumsema hivyo Lowassa basi alishajua 2015 Dr. Slaa anaenda Ikulu, vinginevyo angekuwa na uhakika Kuwa kamati kuu itampitisha Lowassa ili aende Tatu bora Kwaajiri ya kupigiwa kura na wajumbe NEC Taifa basi asingemkejeli hivyo coz kisasi cha Jamaa (EL), kingemmaliza Jk kweny ulingo...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa
  8. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ianzishe mabadiliko ya Ndani, Vinginevyo kuiondoa CCM 2015 ni ndoto - Sehemu ya 1

    Bravooooooooooooo chademaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  9. V

    JamiiForums Tanzania Habari katika picha: Nape Nnauye katika maandalizi ya sherehe za kuzaliwa CCM, Mbeya

    Huyu kijana aliyekuja Mjini kwa mbio za Mwenge naye tayali kitambi? Kweli CCM Mali za wavuja Jasho zinatafunwa kweli kweli.
  10. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hamuwezi kutwaa dola kwa Chopa na Maandamano, waelezeni wananchi mtawafanyia nini

    Wewe endelea kuuza Sembe tu.
Back
Top Bottom