Recent content by Vogoso

  1. V

    INAUZWA Tunauza magodoro. Usafiri bure mpaka ulipo ndani Dar es Salaam

    Yale ya wenye matatizo ya migongo unayo
  2. V

    Natafuta mdau wa kushirikiana kilimo cha vitunguu

    Una unapatikana wapi? mwasiliano
  3. V

    Kipi ni dhahabu kati ya Dengu vs Alizeti?

    maeneo gani yanalimwa dengu, na Je masoko yake hayasumbui?
  4. V

    Msamaha wa Ushuru kwa Watumishi wa Umma

    Hongera kwa kazi nzuri
  5. V

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Taja bei Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
  6. V

    Uzi maalum kwa watu wanaohitaji kuagiza magari, ama wenye malengo ya kuagiza magari

    Nahitaji coaster na hiace Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
  7. V

    Natafuta shamba la kukodi katika mkoani Pwani, lisiwe pungufu ya ekari 10

    Unauza au unakodisha? Gharama zake zikoje? Maji hayajai hapo?
  8. V

    MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

    Pole, nimechelewa Sana kuiona post yako. Nipo Dar es salaam, kariakoo zimejaa. Kampuni wanayosambaza siijui. Ila kama Una MTU muaagize akuchukulie Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
  9. V

    Natafuta shamba la kukodi katika mkoani Pwani, lisiwe pungufu ya ekari 10

    Habari! Natafuta shamba la kukodi katika mkoa wa pwani sizizo pungua ekari 10. Sifa za shamba: 1. Liwe karibu na chanzo cha maji ya uhakika, Kwa kipindi chote cha mwaka. 2. Shamba lisijae maji hasa kipindi cha vuli. Litakuwa Bora Kama na masika halitojaa. 3. Lisiwe mbali Sana kutoka Barabara...
  10. V

    Tangazo la kukaribisha maombi ya mashamba ya kulima Mkonge

    Fomu hiyo Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
  11. V

    Tangazo la kukaribisha maombi ya mashamba ya kulima Mkonge

    Habari wanajamvi nimeona tangazo kutoka BODI YA MKONGE TANZANIA wakitoa taarifa ya kuwa wanakodisha mashamba ya MKONGE Kwa wanachi wanaohitaji. TANGAZO LA KUKARIBISHA MAOMBI YA MASHAMBA YA KULIMA MKONGE 1.0 Utangulizi Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB) inaendelea kupokea maombi ya mashamba...
  12. V

    MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

    Kama yanapasuka Kwa sababu ya maji kuwa mengi ( mvua). Kuwa na utaratibu wa kupulizia OMEX Cal Max. Kazi yake ni kufanya ngozi ya juu ya tikiti kuwa nguma na kuhimili wingi WA maji. Na kuzui kupasuka.
  13. V

    Tuna design Logo (nembo) za company, NG’Os, Hotel, Tours & Safaris, Agriculture, vikundi

    Nani tena? Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom