Recent content by Vladmir Putin

  1. Vladmir Putin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wa IT na Computer Science tengenezeni programu itakayowezesha zoezi la Uchaguzi Mkuu kufanyika kwa Uhuru na Haki

    Hata ukiunda huo mfumo. unampatia nani kwa mazingira haya mtu anachukuliwa mchana kwa basi . ..haki haipo katika taifa hili bado kuna kazi ya kufanyika .
  2. Vladmir Putin

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Godwin Mollel amuunga mkono Chalamila kuhusu wajawazito: Unakuta mtu hana bima lakini anachangia Milioni kwenye harusi!

    Nchi iuzwe tu..kila mtu apewe Chake .sio kwa dharau hizi kwa raia
  3. Vladmir Putin

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya siasa na wanasiasa katika nchi yangu na mataifa mengine

    Siasa Tanzania unafiki na maigizo tu kwa wananchi.. Siku mwisho wake utafika
  4. Vladmir Putin

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jaji Warioba kabla kutoa hukumu yako hususani ya Uchaguzi wa S/Mitaa, uwe umsikiliza pande zote na ushahidi ulionao

    Acha uzumbukuku kuna haja gani ya kusikiliza upande wa pili wakati kila kitu kinajieleza kwa uwazi
  5. Vladmir Putin

    JamiiForums Tanzania Made in Tanzania

    Kila la heri kiongozi katika kukamilisha hayo. Ni mawazo mazuri .
  6. Vladmir Putin

    JamiiForums Tanzania Haya machungu tuliyonayo kwenye hizi timu. Tungekuwa nayo katika kupambania Nchi yetu hakika tungekuwa mbali sana

    Mwanasheria mmoja alisema tunatambua kanuni za fifa kuliko katiba ya Nchi
  7. Vladmir Putin

    JamiiForums Tanzania Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Kujiamini
  8. Vladmir Putin

    JamiiForums Tanzania Kweli kweli wameiba! Je, tupo tayari kwa vikwazo (Sanctions)? Nani ataathirika: Mimi na Wewe au Mwanasiasa?

    Huu uzi ungekuja nao mapema kabla ya uchaguzi .. ingesaidia sana. . pia unavyoongea unaonekana umebase upande flani .. ila unajaribu kushow uko neutral
  9. Vladmir Putin

    JamiiForums Tanzania Je, Tundu Lissu amekimbia mapambano? Ni mwoga na katelekeza mamilioni ya wafuasi wake wanaomuunga mkono katika harakati za ukombozi?

    Ni kamanda huyo .. wanajeshi wanapigana vita ili waishi kupigana siku ingine .. hujui
  10. Vladmir Putin

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kitakachombeba Tundu Lissu uchaguzi 2020

    Lissu tosha ..
  11. Vladmir Putin

    JamiiForums Tanzania Uhitaji wa soko la mahindi na maharage Morogoro

    Bei unauzaje
Back
Top Bottom