Nakuunga mkono sana mkuu lakn pia muhim na fikra zetu kuziokoa tukiwa na akil tena ya pamoja hakuna mtu anaeza kutuonea wala kufanya anachojiskia awe mzawa yey kam kiongoz au mgen kama taifa kubwa kwahiyo tunavyoangalia mabadiliko ya katba muhim kuangalia na mabadiliko ya akili zetu maana sis...
Bhana Tanesco mbeya wamebadil kaz badala ya kufanya umeme upatkane wao wameamua kufanya kaz ya kukatata umeme usipatikane tena bila taarifa kila siku lazma umeme ukate shda nn hatupew taarifa sijui hii mnatusaidiaje
Kwanza mataifa yanatofautiana sera na katba sheria na kanuni lakn pili tayar yale n mataifa ambayo tunasema yanauchumi mkubwa yalishaendelea tayar inakua sio tatizo kuweka kila kitu waz lakn kwa nchi zetu za Africa nying n ngum kidgo kuweka waz kwasabab ndo zinaendelea inaweza kua shida kdgo...
Mshahara wa rais n sir nzito na hiyo bajet mara nyingi haiwez kuwekwa waz kwasabab yey ndye amiri jesh mkuu na ndo kiongoz wa Tiss kama bajet ya Tiss tu wa kawaida haiwekwi waz wanawezaje wakaweka ya kiongoz wao n ngum sana kuijua labda upate taarifa kwa watu wa ikulu na viongoz wakubwa au kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.