Recent content by Vivianna

  1. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Ni uongo gani mkubwa uliowahi kuambiwa utotoni?

    Ukikaa chini ya mti wakati wa jua la utosi utakumbwa na jini kwani muda huo majini yanakuwa yamepumzika juu ya miti kwa uchovu
  2. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Vivutio vya utalii Tanzania na faida za utalii wa ndani

    Jambo lingine ni elimu kwa umma, Wa TZ wengi hawajui umuhimu wa kutembelea mbuga zetu za wanyama na gharama za utalii kwa wazawa zipunguzwe ili kuwavutia Watanzania wengi kutembelea vivutio hivi. Kuna wakati nilisikia Benki moja nchini ikitangaza kwamba imeandaa safari za wafanyabiashara kwenda...
  3. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Najaribu kuvaa viatu vya wazazi wa hawa mabinti lakini havinitoshi

    it is true, so sad .. may God blessed us/them
  4. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Najaribu kuvaa viatu vya wazazi wa hawa mabinti lakini havinitoshi

    Jamani mimi nashindwa kabisa kuficha hisa zangu chungu hadi wakati mwingine machozi hunitoka kila nisikiapo habari za hawa mabinti wa huko Naijeria waliotekwa nyara na boko haram. Sijui wenzangu, lakini tukio hili kila ninapolisikia likisimuliwa kwenye vyombo vya habari au mahali pangu pa kazi...
  5. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile wanaume husband material wote wameshachukuliwa

    Kwa hiyo haina haja ya kujenga chuki
  6. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile wanaume husband material wote wameshachukuliwa

    Shikamoo The Boss Hivi wanatengenezwa ndoani au kunako mchakato, wengine mwanzoni tu unaona hawabebeki. Au ndiyo ile ya kujia moyo kwamba atabadilika, lakini kuna msemo kwamba tabia haina dawa Unasemaje hapo?
  7. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile wanaume husband material wote wameshachukuliwa

    Ndivyo husband material wanavyofanana?
  8. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Ndoa nyingi za kizazi hiki zinavunjika kwa sababu za kijinga, Power of a woman has hit a new low

    Hiyo point ya 4 huwa inanikatisha tamaa kwa kweli Kwa hali hii ya maradhi halafu unaambiwa kwamba hakuna mwanaume asiyechepuka, ivi nitaja olewa kweli!
  9. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile wanaume husband material wote wameshachukuliwa

    Eti iweje kila mwanaume ninayekutana naye ana kasoro nyingi ambazo hata hazibebeki. inawezekana ni mtazamo wangu au weshachukuliwa kitambo?
  10. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye sura hii wanapenda sana kujidai na kuwadhibiti wapenzi wao....!

    Kuna shost wangu mmoja yaani sura na tabia mwake kabisaaa wala mdadavuaji hajakosea kabisa Naomba unidadavulie sura ya mkulu wa mjengoni
  11. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Sitakaa nimsahau mwanamke yule fedhuli….!

    Nimeingia job nikiwa ako na mood, lakini baada ya kusoma hiki kisa cha huyu mzee nimecheka mpaka basi, nimejikuta nikianza siku yangu vizuri kabisa
  12. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Sitakaa nimsahau mwanamke yule fedhuli….!

    Yaani nimecheka mpaka basi, kumbe huyu mzee alikuwa na vitimbi sana enzi zake, nasikie wewe ni mmoja wa wajukuu zake.
  13. Vivianna

    JamiiForums Tanzania Marejesho ndani Serena Dar..... Valentine Day....!!!!!!!

    Watu wa R Chuga mtuwache tupumuwe Source: cacico
  14. Vivianna

    JamiiForums Tanzania HALELUYA! Amu aachiwa!!

    Mdudu gani tena yarabi?
  15. Vivianna

    JamiiForums Tanzania HALELUYA! Amu aachiwa!!

    Kwani kupigwa ban ndio kitu gani?
Back
Top Bottom