Recent content by vivian2

  1. V

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpina, ubunifu wa NEMC unaishia kupiga fine viwanda?

    Mmmh hebu tujiulize, ubunifu wa mahakama unaishia kufunga wakosaji?, ubunifu wa TRA unaishia kuwakamata wasiolipa kodi? na ubunifu wa trafiki unaishia kuwakamata ma kuwatoza faini wanaokiuka sheria za usalama barabarani? tuwe wakweli. Sheria inasemaje? viwanda vingi vimeishapewa maonyo...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka asafishwa baada ya kupita kura ya maoni, ona wananchi wake walivyo!!!

    ukweli utabakia ukweli fitina tuache huyu mama anaweza
  3. V

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka adhalilishwa mkutano wa kampeni za maoni CCM, Mkutano wavunjika

    kwani nshamba ndio muleba kusini yote mbona kawaida
  4. V

    JamiiForums Tanzania Lukuvi ageuka "lulu" Bungeni leo

    miezi sita mmmh siasa za uchaguzi
  5. V

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka azomewa mbele ya Kinana Muleba, adai hana njaa, kama ni hela anayo!

    muleba kusini kuna kata ngapi?
  6. V

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka azomewa mbele ya Kinana Muleba, adai hana njaa, kama ni hela anayo!

    da hiyo ni ccm nshamba ndio anakotoka masilingi ila siasa iko hivo
  7. V

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Eliakim Maswi hakuhusika na uchotaji fedha Tegeta Escrow

    zito na PAC washistakiwe
  8. V

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka anasambaza pesa kama karanga wilayani Muleba

    hatukosi neno
  9. V

    JamiiForums Tanzania Zitto amlipua Rugemarila wa Escrow

    tuache kudanganya watu juhudi za mtu ziheshimike tutabaki kupiga porojo tu wanaoweza wanaendelea
  10. V

    JamiiForums Tanzania Avic town Kigamboni ni mradi wa mama Tibaijuka na RC DSM, wamepigwa stoooop!

    hebu tuandike vitu vinavyoeleweka
  11. V

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Jaji Joseph Sinde Warioba ajiunga ACT-Wazalendo

    kwani shida ni nini, makongoro nyerere alishawahi kufanya hivyo!
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kama tunavyomkataa yule nawe tunakukataa hivyo hivyo!

    inabidi tuwe makini katika kufanya uchambuzi wa taarifa la sivyo ni upotoshaji tu
  13. V

    JamiiForums Tanzania Sefue: Tumemaliza kumchunguza Maswi

    itoke haraka
Back
Top Bottom