Hivi kwanini Binadamu hatupendi kutumia akili zetu? Acheni kimchonganisha Pascal Mayalla na waandishi wa habari. Nilikua nasoma sana hoja za Pascal Mayalla kuhusu the economist na nilimuelewa sana.
Na kamwe usitegeeme Pasco atakuja hapa aseme kwenye uchambuzi wangu nilikua namaanisha hivi...
Nyongo inasababishwa na wingi wa sukari kwenye Pombe, Kutetemeka mikono kunasababishwa na unywaji wa kupitiliza mpaka concentration ya pombe kwenye damu inakua nyingi kuliko maji.
jibu la mlevi mwenzio hapa zero pub Asprin