Recent content by Vivian viva

  1. Vivian viva

    Chamazi Mbagala kuna shida gani kuhusu nyumba?

    Mimi mwenyewe waliniweka hawa madalali wajinga, nikanunua nyumba niliona imepambwa na marangi nikaipenda, mwezi mmoja tu rangi imepauka, sijakaa sawa nyumba nzima ufa. Nilimchukia sana huyu dalali namkumbuka anaitwa sijui Ndimbo, hovyo kabisa, na pesa yenyewe nilichukua mkopo, mpaka leo...
  2. Vivian viva

    Chamazi Mbagala kuna shida gani kuhusu nyumba?

    Mungu wangu huyu dalali mbona ana kiswahili kibovu hivi, maneno mengi yasiyo na maana.
  3. Vivian viva

    Kapoteza fahamu baada ya kuachwa

    Maumivu katika mapenzi ni kama ajali wakati mwingine hayawezi kuepukika jamani ila kuachwa kunauma sana hasa na mwanaume ninayempenda, pole kwa marry Mungu amjalie afya tena
  4. Vivian viva

    Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

    Vipindi vingine havina maadili kabisa katika jamii. Nini hasa malengo ya kipindi hicho?
  5. Vivian viva

    Siri ya mafuta ya upako na dhana mpya ya utapeli

    Mtumishi umenena vyema sana, kweli tunaangamia kwa kukosa maarifa. Hawa manabii wanapitia katika ujinga wetu kupata utajiri wa ajabu. Mimi niliwa kwenda kununua hayo mafuta pale Miracle center kwa Mtume Peter Nyaga, nilinunua kichupa kidogo laki moja(100000). Nilipokunywa Yale mafuta, nilikuwa...
  6. Vivian viva

    Baba yangu alisababisha nilale na mjomba wangu, kamwe sitamsamehe

    Ndugu zangu wana JF asanteni kwa ushauri wenu mzuri. Lakini nahisi kama ndio nimetonesha kidonda upya, nimekuwa na mawazo kupitiliza kadri ninavyopitia michango yenu nabaki nalia sana, Sijui nifanye nini Mungu wangu. Mume wangu toka Jana jioni anaona siko sawa, nikamwambia najisikia tu vibaya...
  7. Vivian viva

    Baba yangu alisababisha nilale na mjomba wangu, kamwe sitamsamehe

    Nashukuru kwa ushauri wako Mungu akubariki
  8. Vivian viva

    Baba yangu alisababisha nilale na mjomba wangu, kamwe sitamsamehe

    Asante sana Mshana Jr, inaonekana we ni mtu mwenye hekima na busara, niliona jf ndio sehemu muhafaka ya kulizungumza hili na roho yangu angalau ipate faraja, lkn naona wengine wananikejeli, na maswali mengine yasiyohitaji majibu, nahis ni watoto na hawajakutana na matatizo. Mungu awasamehe tu.
  9. Vivian viva

    Baba yangu alisababisha nilale na mjomba wangu, kamwe sitamsamehe

    Mi nimeolewa na msukuma wa Mwanza lkn wote tumeajiriwa Dar
  10. Vivian viva

    Baba yangu alisababisha nilale na mjomba wangu, kamwe sitamsamehe

    Kwa kweli namshukur Mungu lkn nikikumbuka naumia sana
  11. Vivian viva

    Baba yangu alisababisha nilale na mjomba wangu, kamwe sitamsamehe

    Habari zenu wa JF, Nimeona leo nitoe siri yangu hapa ya muda mrefu ambayo imekuwa ikiniumiza sana pale tu ninapokumbuka, nakosa raha na amani inapotea. Kwa ufupi kabisa, nilizaliwa mkoani Mara wilaya ya Musoma mjini maeneo ya Nyakato, mama yangu alibeba mimba yangu akiwa darasa sita hivyo...
  12. Vivian viva

    Mwaka sasa umeisha nanyimwa, hata kwa kondomu hataki

    Mwaka mzima bila kupata, na uchepuki nje, we mwanaume utakuwa na tatizo, yawezekana mkeo anagegedwa na waume wa nje fuatilia nyendo zake utaona. Mi siamini kama anaweza kaa mwaka mzima bila kufanya. Mi mwenyew hata mwezi siwez lazima mume wangu anigegede
Back
Top Bottom