hawa kina mchechu walipoingia madarakani walinunua Toyota L/Cruiser mpya v8 kwa kila mkurugenzi na hapo hapo wakajikopesha Toyota L/Cruiser Prado Mpya latest model !
Huu ni ubadhirifu mkubwa wa mali ya umma.Walinunua magari mapya amabayo thamani yake ni mabilioni ikabidi waajiriwe na madereva...
Mimi nasikitika sana hawa jamaa wa NHC wameingia ubia na wahindi kujenga majengo mengi na makubwa yakiwemo yaloanguka na lile linalovunjwa bila kutangaza tenda.PPRA uko wapi ? hayo majengo ni ya serikali walichotakiwa NHC ni kutangaza mtu anaetaka kuingia ubia wa ujenzi ,basi watoe tender ! wao...
KUNA NAFASI 6 ZINAZOHITAJI KUJAZWA KATIKA KAMPUNI YA CLEARING AND FORWARDING.
KAZI:KUFANYA DECLARATION NA KUTENGENEZA DOCUMENTS KATIKA TANCIS SYSTEM(2)
KU-PROCESS DOCUMENTS SHIPPING LINES NA KWA CONSOLIDATORS(2)
KUTOA MIZIGO BANDARINI (2)
SIFA;ELIMU YA...
KUNA NAFASI 6 ZINAZOHITAJI KUJAZWA KATIKA KAMPUNI YA CLEARING AND FORWARDING.
Kazi: Kufanya declaration na kutengeneza documents katika tancis system(2) ku-process documents shipping lines na kwa consolidators(2) kutoa mizigo bandarini (2)
Sifa: Elimu ya sekondari...
KUNA NAFASI 6 ZINAZOHITAJI KUJAZWA KATIKA KAMPUNI YA CLEARING AND FORWARDING.
KAZI:KUFANYA DECLARATION NA KUTENGENEZA DOCUMENTS KATIKA TANCIS SYSTEM(2)
KU-PROCESS DOCUMENTS SHIPPING LINES NA KWA CONSOLIDATORS(2)
KUTOA MIZIGO BANDARINI (2)
SIFA;ELIMU YA SEKONDARI...
Huyo Mgombea wa CCM aliemuwekea Mbowe pingamizi anaitwa Menard Swai alishafanya kazi TRA miaka ya 2000.Muulizeni kwa nini hayupo kazini ? vile vile alishakuwa na cheo muungano wa vyama vya ushirika kilimanjaro.Je kuna nini kilichokuwa kinaendelea huko ?
Zitto ni mbinafsi sana.Wakati wenzake wanahangaika kwenye majimbo ya uchaguzi kupigia kampeni wagombea wa Chadema yeye haakuonaekana kabisa mfano jimbo la mbunge Nasari na kule Shinyanga.Je alikuwa wapi ? akumbuke Chadema imejengwa na wanachadema wote sio yeye tu na alijaribu kutaka kuibomoa...
Huyo Bashe ujasiri wake apeleke kwao somalia akaikomboe kutoka kwa Al-shabaab,Nani asiejua kuwa amepewa uraia wa kulazimisha.
Huyu alifika Nzega akiwa na baba yake ndugu zake na mama yao. Wakafikia nyumba ya msikiti alipokuwa anakaa Mzee Husseini mlinzi wa msikiti.AkAwapa chumba kimoja baba...
Mi nashangaa eti mnampa sifa kuwa kang'atuka ubunge ! kang'atuka wapi wakati amefukuzwa aautomatically baada ya kesi kwisha !
Kwa nini mnampa sifa ? kwa nini spika aliruhusu huyu Zito kaba kuongea bungeni wakati alishafukuzwa ?
wanacho fanya NHC ni kujitajirisha.
Viongozi wote walio katika menejiment ya NHC WAMEKOPESHWA MAGARI MAPYA KABISA NA BADO WANATUMIA MAGARI YA KAMPUNI NA AMBAYO I MAPYA PIA !
VIONGOZI WA JUU KAZI YAO KUZUNGUKA TU SAFARI HAZIISHI NCHINI NA NJE WANATUMIA SANA PESA ZA SERIKALI BILA KUULIZWA ...
Jamani eeh , KWANI MKURUGENZI WA KARATU KAAJIRIWA NA NANI ? MWEKA HAZINA ? WAKAGUZI ? MAINJINIA ? WOTE HAWA WAMEAJIRIWA NA SERIKALI YA CCM.NA WAO NDO WANOIDHINISHA MATUMIZI NA MALIPO YA PESA.KWA NINI MNAWASINGIZIA CHADEMA ? WAULIZENI HAO WATU WENU HIZO PESA VZIKO WAPI ? ACHENI KUPAKA MATOPE...
Mkuu hawa jamaa ni wajanja sana wameingia kwa gia ya dini kumbe wanamambo yao ya unga na cyber crimes.
Ukikuta Ijumaa watu walivojaa katika kanisa lao ni balaa !
Na hilo kanisa zamani ndo ilikuwa Vatican hotel sasa hivi imebaki magofu na jamaa sijui wamekodi hapo ni kelele mtindo mmoja ...
Jamani wadau hebu ketini chini mfikiri kwa kina.
Hivi mtu mwenye akili timamu anaeutaka urais wa nchi hii atakwenda kuhojiwa katika kipindi cha mikasi ?
Huyu anadhalilisha taasisi ya urais ! na kwa akili ya harakaharaka ni sawa na kusema akili zake ni za kibangibangi kama mwendesha kipindi...
Swiisport hawana post ya hivo kwa sababu wao si kazi yao kuuza ticket za abiria wa ndege.
hata hivo mshahara wao kwa wastani ni laki tatu na ushee kama alivosema mdau alietangulia.
kupata kazi pale lazima Temu uwe nduguye shangazi mjomba binamu ,demu wake au ndugu wa stella kitali yule fupi...
Swiisport hawana post ya hivo kwa sababu wao si kazi yao kuuza ticket za abiria wa ndege. hata hivo mshahara wao kwa wastani ni laki tatu na ushee kama alivosema mdau alietangulia.
kupata kazi pale lazima Temu uwe nduguye shangazi mjomba binamu ,demu wake au ndugu wa stella kitali yule fupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.