Recent content by Vita dhidiyaujinga

  1. V

    JamiiForums Tanzania Taswira kamili ya CCM: Ni chama cha watekaji na wauaji. Mtu kama huyu hafai kuwa kiongozi.

    Huu Uzi umeandaliwa kwa Nia njema.tunaweza kuukumbuka badae kama siyo sasa
  2. V

    JamiiForums Tanzania What?

    Ishi maisha ya haki kwa gharama yoyote. Yanalipa sana Hata yasipolipa unavyodhani jua yanalipa Tafsiri ya haraka usimtendee mtu jambo usichotaka utendewe. Karibu kwa YESU KRISTO BWANA
  3. V

    JamiiForums Tanzania Ndoto za kurudi Shule na Kijijini kwenu zina Maana Gani?

    Kurudi nyuma kimaendeleo Au kuwa na sababu ya kuanza upyana kujichunguza Ili usiangukie mbele ya safari
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini kuaga dunia kwa utetezi wenye kurasa elfu moja kizimbani.

    Umeongozwa na shetani kuandika apa.Kwaufupi shetani ameandika Uzi jf
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

    Asilimia kubwa umeongozwa na Mungu kuandika hapa asilimia chache ni akili ya kawaida tu generally Mungu akubariki. Hawa watu wanaosomba wanaume au wanawake wakichoka wakataka kuoa au kuolewa wasisumbuke kuvaa shera au mavazi rasmi maana yanaashiria bado bikra.Acheni unafiki wafahamishe wazazi na...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wamemkumbuka Rais Samia Wanatamani Hata Kusikia Sauti Yake Ikizungumza Nao. Ni Upendo Wa Agape Unaoonyeshwa Na Watanzania Kwa Mama

    Sshimoo Tena Lucas Mwashambwa...naomba ukitaka kunijibu usinijibu kwa hoja butu ila nachoamini ata ukijiangalia kwenye kioo huenda unakibishia kuwa hiyo siyo sura yako na unaipiinga dhamiri Yako Yes your inner conscience.Nacoment Tena maana naona unazidi kuwajibu watu bila akili, bila maana...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wamemkumbuka Rais Samia Wanatamani Hata Kusikia Sauti Yake Ikizungumza Nao. Ni Upendo Wa Agape Unaoonyeshwa Na Watanzania Kwa Mama

    Naamini Lucas Mwashambwa kama una cheo siyo kikubwa pia maamini huna cheo maana sikufahamu. Shikamoo Lucas Mwashambwa... Unaleta ujumbe kama huu kwa malengo yako ya ubinafsi ambayo ni 1.Kujipendekeza kwa rais na wasaidizi wake ili upate cheo au utunze fursa ya vyakula 2.unataka kuipiga upofu...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Asilimia 99.5 ya watu duniani ni machawa

    Ni kweli pia maana ya chawa iko wazi na Sasa wako kila levo.wachungaji wengi Wana machawa wanaowaita wazee wa makanisa, mabosi WENGI PIA WANAO INGAWA wanawaita wasaidizi wao, kwa ufupi hii ilikuwepo ni vile tu imeshika kasi na kupewa jina linaloeleweka zaidi
  9. V

    JamiiForums Tanzania Asilimia 99.5 ya watu duniani ni machawa

    Hii ni kwa sababu uchawa ni kusifia kitu au mtu ata katika madhaifu yake. Mtu ambaye siiyoo chawa atakuambia wapi umekosea na wapi umepatia.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nafasi za mwalimu wa daraja la 3C inaone,kana zimeisha jana (waliofanya usaili April 2026)

    Wasome comment yako waitendee haki aisee wanachokifanya hakionyeshi uhalisia
  11. V

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nafasi za mwalimu wa daraja la 3C inaone,kana zimeisha jana (waliofanya usaili April 2026)

    Shikamooni,...Kwa muliofanya usaili wa mahojiano mwalimu wa kiswahili daraja la III C Hapo jana kwa hesabu zisizo rasimi (ambazo hazijatolewa na sektetarieti ya ajira) inaonekana nafasi 147 zilizohitajika zimejazwa.Je tutegemee zitaendelea? Sawa kama uko kwenye database (kanzi data) kama...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Swali-kwanini makato ya bodi ya mikopo (Heslb), paye, na NSSF, zimekuwa njia za upigaji kwa taasisi binafsi zilizo nyingi?

    Nitataja taasisi ikiwezekana lakini baadhi yetu wanajua kuliko wewe uliyeshiba
  13. V

    JamiiForums Tanzania Swali-kwanini makato ya bodi ya mikopo (Heslb), paye, na NSSF, zimekuwa njia za upigaji kwa taasisi binafsi zilizo nyingi?

    Ambao mko( mnafanya kazi) taasisi binafsi au mnamiliki taasisi binafsi kama shule,nk nafikiri Muna majibu na kama nachoandika ni kweli mtaniambia. It's normal kukuta mfanyakazi anakatwa makato hayo yote na kuambulia kiasi kidogo ila hela haiwekwi sehemu husika. Je shida ni nini?
Back
Top Bottom