Recent content by VISIONEER

  1. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Ungefanyaje kama ndio umeambiwa wewe?

    sifahamu mkuu ndio maana nimejaribu kutafuta mawazo QUOTE=The Finest;2077773]Hivi siku hizi wanawake hawatongozi???
  2. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Ungefanyaje kama ndio umeambiwa wewe?

    hahahaha umenifurahisha mkuu,yawezekana kweli anaonekana tajiri fulani hivi
  3. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Ungefanyaje kama ndio umeambiwa wewe?

    nawashukuru wote kwa michango yenu nimepata kitu.
  4. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Ungefanyaje kama ndio umeambiwa wewe?

    NI kama ilivyo wewe si kila mwanamke ungependa awe mpenzi wako ndio maana kuna baadhi tu ndio unawatokea sio? sasa na kwa wanawake hivyohivyo si kila mwanamme anayemtokea anataka awe mpenzi wake. na ukweli hili tatizo limewakuta wanawake wengi na kufikia hatua wanaolewa kwasababu umri umekwenda...
  5. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Ungefanyaje kama ndio umeambiwa wewe?

    Unajua wanawake wengi wangeweza kuwatokea wanaume lakini nadhani wanahofu ile ya kutangazwa kwa mamen wengine na pia wasijeonekana malaya. Ila hili suala la mwanamme atongoze kwanza linawanyima haki wanawake mi nadhani sasa tubadilike tukubaliane kuwa hata wanawake wanahisia pia.
  6. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Ungefanyaje kama ndio umeambiwa wewe?

    ushauri umetulia nashukuru mkuu kwa mchango wako.
  7. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Ungefanyaje kama ndio umeambiwa wewe?

    Habari ya kwenu wana jf. Mimi nina rafiki ambaye ni jinsia ya kike alikuja kuniomba ushauri afanyeje anasema kuwa ametokea kumpenda kijana ambaye ni wa mtaani kwao,anasema anampenda kwa dhati na ana malengo ya ndoa pia ikiwa wataelewana, lakini utata upo hapa yeye ni mtoto wa kike na kwa...
  8. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Ndivyo tunakwenda na wakati?

    Kuwa na matiti mazuri ni kweli mazuri lakini kwann wayaonyeshe? Are they doing business or what?
  9. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Kama star halafu na .........

    Ana mahips figure namaba 8
  10. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Mrembo wa wik!!!

    Msilete mambo ya ze utamu we hiyo picha kakuruhusu uilete humu jf jamani au tu mnataka mwenzenu aishie kwenye msongo wa mawazo. Toa picha ya dada yako tu mmpe maksi basi.
  11. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Ina maana bwana mdogo jerry william slaa naye yumo? Hapo umesema na meya wa ilala pia lol kazi ipo
  12. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Muangalie huyu dada alivyoteseka

    hicho ni kichekesho manzee
  13. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Nimefunguliwa kwenye kifungo cha hofu na mashaka

    Sasa nyie mnaosema hamtapima inamaana hamtakujaoa? Mi navyojua mfano kwa wakristo ukitaka kuoa inakubidi mpime kwanza.
  14. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Muangalie huyu dada alivyoteseka

    Yaani kajisahau kabisaaa
  15. VISIONEER

    JamiiForums Tanzania Muangalie huyu dada alivyoteseka

    unatumia simu?
Back
Top Bottom