Waraka wa wazi kwa Watanzania kutoka kwa watumishi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ufisadi ndani ya Bunge la Jamhuri ya Tanzania
Ndugu zetu Watanzania. Sisi ni wafanyakazi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , tunapenda kutumia nafasi hii kuwafikishia ujumbe huu muhimu...
Duuuh, tunaomjua Omar ni wengi basi. Mi sikutaka kumgusa Omar kama Omar, najua anamezeshwa na kina Zitto na mpambe wake Hussein Bashe mwana wa Rostam ambaye ndo mchonga deal za hela za kumsafisha JK.
Maneno mengi ya nini? Wala msiumize vichwa, kwenye mbio hizi wengi ni ngumu kuwaelewa, taratibu 2010 ipo mlangoni, kama ilivyokuwa 2005, vilevile kama sasa wataanza kuchafuana na kuwapoteza wengi malengo.
Nawahakikishia, Sakina bado yupo IPP, kama mnabisha si mnaye Mwanakijiji? Ampigie simu na...
KILA nchi na jamii inavyo vigezo vyake vinavyotambulisha ubora wa jamii hiyo na watu wake, ndani na nje ya nchi hiyo. Na Tanzania siyo tofauti katika ukweli huu.
Vigezo hivyo viko vingi na kwa namna nyingi na tofauti. Moja ya vigezo vipya vilivyoibuka katika miaka ya karibuni ni teknolojia ya...
Ungeandika imeandaliwa na Zitto Kabwe kwa ushirikiano na Omar Ilyasi kwa kuwa financed na Rostam.
Ndo first post yangu hapa JF lakini huu upuuzi siuachi upite hivi, heshima zenu wana JF, nimejiunga rasmi.
Vision2010
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.