Recent content by Vision 2030

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    1.Baba akisema saa 1.00 jioni familia nzima inatakiwa iwe nyumbani,wanafamilia wote akiwepo baba wanakuwa nyumbani,sio mama kwa kuwa anajua baba hurudi saa 9 usiku naye anarudi saa saa 7 usiku ,na sio watoto kwa kuwa wanajua baba hurudi saa 9 usiku na mama hurudi saa 7 husiku na wao wakike na...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Tixon Nzunda ni nani na amewafanya nini TAMISEMI?

    "Huyo ni jembe,namfahamu akiwa RAS Rukwa" Hongera zake kiongozi.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?

    "Kwa Tanzania hilo ni Tatizo kubwa sana,niongeze mifano michache" 1.Kuna wana Simba ambao walipenda ,Yanga itolewe mapema katika mashindano ya Club bingwa Africa ,kama ambavyo wapo wana Yanga ambao wameshangilia sana UD Songo walivyotuondoa mapema katika mashindano.Hili huwa linanipa shida...
  4. V

  5. V

    JamiiForums Tanzania "Magufuli is very strategic person indeed never happened in Tanzania"

    "Nyerere alikuwa na mazuri yake na Magu anamazuri yake"
  6. V

    JamiiForums Tanzania "Magufuli is very strategic person indeed never happened in Tanzania"

    "Namba sio muhimu sana sijalenga kupata nafasihata hivyo akitaka nipate nafasi nitapata "
  7. V

    JamiiForums Tanzania "Magufuli is very strategic person indeed never happened in Tanzania"

    1.Hivi ninavyoandika,kuna vihenge vya kisasa vinajengwa (SILOS) za kuhifadhia mazao ya kilimo zaidi ya saba nchini. 2.Hayo ni maandalizi ya kilimo nchini,huwezi kuzalisha usijue unahifadhi wapi! 3.Bajeti ya 2021 katika kilimo itakuwa kubwa sana maandalizi yatakuwa yamekamilika. 4.Ukiwa...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dar: Yaliyojiri Kuapishwa kwa Mawaziri wateule Hussein Bashe na George Simbachawene

    1.Kama nilivyosema awali nakufuatilia sana. 2.Lengo la mhe. Rais ni kushughulika na wanyonge. 3.Wanyonge wa nchi hii in wafanyakazi na wakulima. 4.CCM ni ya wakulima na wafanyakazi. 5.Pamoja na kwamba unatuhudumia wote lakini kwa misingi ya chama inapaswa iwe kwa wakulima na wafanyakazi. 6...
  9. V

    JamiiForums Tanzania "Magufuli 1=wana CCM wote"

    "Kuelewa itakuchukua muda sana"
  10. V

    JamiiForums Tanzania "Magufuli 1=wana CCM wote"

    "Ndiko anakoelekea we subiri"
  11. V

    JamiiForums Tanzania "Magufuli 1=wana CCM wote"

    "No comment"
  12. V

    JamiiForums Tanzania "Magufuli 1=wana CCM wote"

    1.P1= P2 (Pascal's Principal ). Where P1 = Pressure 1 P2 = Pressure 2 2.d1A1= d2A2 Where d1 = Distance kubwa d2= Distance ndogo A1 =Cross sectional area ndog A2=Cross sectinal area kubwa 3.To every action there is an equal and opposite to...
Back
Top Bottom