Recent content by Virus

  1. V

    Msaada simu ya KUNUNUA

    Post wanazotoaga babako na mamako wakiwa faragha huwa zina maana sana, humu siku hizi ujinga tu
  2. V

    Xiaomi mi a1 vs xiaomi redmi note 4

    Sijaoda mwenyewe, someone will bring it, atanunua huko huko nje
  3. V

    Xiaomi mi a1 vs xiaomi redmi note 4

    Thanks guys, done, waiting for my phone now, i went for the a1
  4. V

    Xiaomi mi a1 vs xiaomi redmi note 4

    Ipi ina uwezo* au ubora kati ya hizi simu 2?
  5. V

    Msaada simu ya KUNUNUA

    Kuna mtu ameniambia nitafute a phone around 200$ online especially Amazon aninunulie, by the way mimi ni masikini sana hata tecno siwezi kuafford, thanx
  6. V

    Msaada simu ya KUNUNUA

    Nina 200$ je naweza kupata simu gani online, vigezo muhimu battery, camera, and am a gamer too! Isiwe window au iPhone, Android only
  7. V

    Kwanini Migahawa ya Wakristo Tanzania haina chakula kizuri?

    I think mtoa MADA ulikuwa unacompare watu wa MWAMBAO WA PWANI NA WATU WA BARA, but otherwise your IQ is a bit slow
  8. V

    Naomba msaada wa jinsi ya Ku Root huawei y3II

    Bootloader ipo locked mzee, nina Huawei kama yako, nilitumia apk zote na pc version zote za app za kuroot na mpaka leo mkausho, if you can find a way to unlock bootloader good luck
  9. V

    Msaada wa jinsi yakurudisha faili la simu nililo-delete kwa bahati mbaya

    I think kama unatumia android try to use "Google photos app" huwa inakuja na simu, au waweza Idownload kwa playstore, most of the time many photos are backed up by the app
  10. V

    Msaada huawei Y550 L02 imegoma kuwaka baada ya kufanya rooting

    Je ndio maana nashindwa kuroot simu yangu? Na je nikiunlock bootloader naweza iroot?
  11. V

    Msaada jinsi ya kuroot Huawei 530

    Huawei nying bootloader ipo locked so forget rooting them,mi nina huawei nshajaribu kila app ya kuroot na kama ilivyofanya kwako ilifanya kwangu pia
  12. V

    Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    Tatizo watu wenye akili timamu kama wewe ni 2% ya taifa zima, the rest ni wapumbavu ambao wanamiliki smartphones
Back
Top Bottom