Sehemu ya pili
Nisingependa kujadili afyaya mzee Lowassa kwasababu hili ni jambo binafsi ila naomba itoshe nikisema mzee wetu anapoteza kumbukumbu kwa haaka sana.
Fedha toka ujerumani chadema waliomba msaada toka wafadhili wao kwa ajili ya uchaguzi shilling billion 15 zilitumwa na...
Wanamabadiliko jiandaeni kifikra hali ndani ya ukawa ni mbaya kuliko mnavyodhania kadri siku za uchaguzi zinavyokaribia. Ukawawalishapoteza dira toka kitambo na kuna mambo mawili ndiyo yaliyoleta huo mtafaruku ni fedha na mtandao.
Nianze la hili la fedha, moja ya mambo ambayo yaliahidiwa na...
nakumbuka arusha wakati lowasa anatangaza nia mwenyekiti wa wafugaji Tanzania nzima alisema kuwa kuna wafugaji milioni 17 nchi nzima ambao wote watamuunga mkono Lowasa, hii ni hatari kabisa lazima usalama wa taifa waliangalie hili kwa makini, kuna maeneo ambayo kuna wafugaji wengi wa kimasai...
Wakuu Dodoma sasa inatisha Wallahi naapa tangu nizaliwe sijawahi kuona mabilioni ya pesa yakimwangwa kama njugu katika mji huu wa Dodoma.
Leo nimemshuhudia mpambe wa Lowasa hana Rainbow pup akigawa maburungutu ya elfu kumi kumi kwa wajumbe wa mkutano mkuu walipoanza kuwasilia mjini hapa...
Wakuu bado nipo hapa Dodoma kwa takribani wiki sasa, lengo ni kuwajuza kila kinachojiri katika mchakato wa ccm wa kumchagua mgombea wake wa urais.
Jana lile jasusi na kachero mstaafu wa idara ya usalama wa taifa Colonel Aspon Mwang'onda limewasili hapa Dodoma. Amefikia katika kitori Hotel...
Hali ya imekuwa tete kwa gazeti la mwananchi ambalo linasadikiwa kuyumba kiuchumi kutokana na kukosa shabaha katika malengo yake ambayo menejiment iliyokuwa imejiwekea na kusababisha hali ya sintofahamu kwa wafanyakazi na waandishi wa gazeti hilo.
Menejimenti ya mwananchi ya hapa Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.