Recent content by VINICIOUS JR

  1. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza kodi kwenye Betting

    nakazia
  2. VINICIOUS JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je?, umeshawahi ambiwa na mwanamke una sura ya upole, hii kauli uliipokeaje?

    ooh! kumbe
  3. VINICIOUS JR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je?, umeshawahi ambiwa na mwanamke una sura ya upole, hii kauli uliipokeaje?

    No reforms no election. Wakuu kama mada inavojieleza, kuna mwanamke nimekua nikimfukuzia kwa mda kidogo sasa leo katika maongezi mara ghafla akaniambh nina sura ya upole. hii kauli niliipokea kwa mshtuko mana ilikua ghafla sikujua kawaza nini hadi aniambie hivo. je, wewe ulishawahi ambiwa hvo...
  4. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Mpango mkakati wa serikali dhidi ya vijana wanaobadili picha na video za Mama Samia kupitia ai kuwa za ovyo

    sasa si wanasema vijana wakajiajir sasa mnalalamika nini huo bunifu digital
  5. VINICIOUS JR

  6. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

    WE JAMAA LETE MUENDELEZO AU HADI UBEMBELEZWE?
  7. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna connection kati ya wakuu wa vyombo vya dola na Gwajima na pia kuna vigogo wa chama cha kijani nyuma yake

    tunajua na kwa ajil yao ila tunataka watu wengne ccm hii chi sio yenu pekeyenu.
  8. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna connection kati ya wakuu wa vyombo vya dola na Gwajima na pia kuna vigogo wa chama cha kijani nyuma yake

    HUYU CHOISE VARIABLE ndo definition ya watanzania wapumbavu ambayo hata wakenya wanaingelea huko mtandaoni. Ni watu wa ovyo sana ambao wao mda wote tu mama mama mama mamamama mama .yani kama mijinga.
  9. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna connection kati ya wakuu wa vyombo vya dola na Gwajima na pia kuna vigogo wa chama cha kijani nyuma yake

    swali la kijinga sana hilo. Mtz yeyote anayejitambua hawezi kuwapenda hawa matapeli. Pia simpangii mtu aipende au hasiipend ila ktokana na upeo na utashi wa mtu kulingana tu na mambo yanavoenda uwez kuwakubal hawa watu labda uwe zero IQ au chawa.
  10. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna connection kati ya wakuu wa vyombo vya dola na Gwajima na pia kuna vigogo wa chama cha kijani nyuma yake

    mimi sio maskini ila siipend tu ccm na mambo yao ya ovyo kama mtanzania. Mimi sinachama sawa dogo.
  11. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna connection kati ya wakuu wa vyombo vya dola na Gwajima na pia kuna vigogo wa chama cha kijani nyuma yake

    sawa ila mwisho wenu umefka yaan kifo chenu kinawadai.
  12. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna connection kati ya wakuu wa vyombo vya dola na Gwajima na pia kuna vigogo wa chama cha kijani nyuma yake

    bila shaka wewe ni thithim yaan ni kada wa thithim.
  13. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna connection kati ya wakuu wa vyombo vya dola na Gwajima na pia kuna vigogo wa chama cha kijani nyuma yake

    dah! Kumbe polisi wakimkata mtuhumiwa wanahaki ya kula uroda na hawana cha kufanywa.
  14. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna connection kati ya wakuu wa vyombo vya dola na Gwajima na pia kuna vigogo wa chama cha kijani nyuma yake

    ok, hapo nimekupataa ila THITHIM kusema kweli tumewachoka ni watu wa ovyo sana.. Yan kunamda hata kuwasikiliza viongozi wa thithim mtu unaona kinyaa.
Back
Top Bottom