Recent content by Vilzs

  1. V

    Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

    Jujaelewa point ya msingi. Ngoja nikufafanulie kidogo. Kabla ya maisha ya ndoa, mwanamke alijua kuna mtoto tayari aliyezaliwa kabla ya yeye kuolewa. Na akakubali kuwa atampokea na kumpenda. Baada ya kuingia ndani na kupata ujauzito ndio akaanza kuonyesha figisu zake juu ya Yule mtoto. Na baada...
  2. V

    Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

    Hapana mtoto kamkuta, na sio suprise nilimwambia kabisa kabla
  3. V

    Mke wangu hampendi mtoto wangu niliyempata kabla ya ndoa

    Hivi mwanamke kumkataa/kumchukia mtoto wako uliyezaa kabla ya kumuoa. Kuna mapenzi hapo? Yaani hampendi Mwanao je wewe atakuwa anakupenda kweli?
  4. V

    Jinsi ya kupost video kwenye jamii forum

    Yan Mimi najaribu hata kupost mada Ila nashindwa sion pa kuandika msaada tafadhali
Back
Top Bottom