Jinsi ya kupost video kwenye jamii forum

Jinsi ya kupost video kwenye jamii forum

Click Icon ya "Film" (ya 5 toka kulia row ya chini).

Ukisha-click hiyo icon na kufunguka, utaona sehemu unayotakiwa ku-paste video link.

Uki-paste video link; click "embed" then "Send" or "Save Changes"
Yan Mimi najaribu hata kupost mada Ila nashindwa sion pa kuandika msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom