Chadema ni chama makini, kamwa hakiweza kufanya mambo ya upuuzi. Taifa lote linafahamu. Mikakati ya kuua chadema na ishindwe. Chadema ni mkombozi pekee wa nchi hii.
Jamani mimi baada ya kusoma maelezo haya, nampinga kabisa huyu babu. Huu ni upotoshaji mkubwa. Biblia inasema katika bustani ya Edeni kuna mto Frat uapita katikati yake; Sasa basi atuonyeshe huo mto Frat hapo Loliondo. Babu acha kabisa kuchezea watu. Huyo Mungu wako akudanganye wewe mwenyewe.
Mimi ni Vilora ndiyo kwanza nimejiunga hapa JF. Kabla ya yote napenda kuwasalimia wana JF wote wakubwa kwa wadogo, Mabwana na Mabibi. Wakubwa shikamoooni na wadogo habari zenu. Tafadhali nipokeeni kwa upendo. Mimi nawapenda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.