Recent content by villagechampion

  1. villagechampion

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Vipi trh 10/1/2020 ulienda? Na uliambiwaje? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. villagechampion

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Jamani nimenunua umeme toka jana sijatumia majibu kupitia nmb mobile msaana please Sent using Jamii Forums mobile app
  3. villagechampion

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari, hivi uhamisho umeruhusiwa??
  4. villagechampion

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Jamani wa Shinyanga mjini hamna jamani, mi niko Ubungo dsm nahitaji Shinyanga mjini, idara msingi
  5. villagechampion

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo manispaa ya Ubungo nije Shinyanga manispaa idara msingi
  6. villagechampion

    Tiba ya Mirija ya uzazi na mayai kutokupevuka

    Dawa alipewa kwa muda Wa miezi mitatu, baada ya hapo akaambiwa operation ila hajafanya bado ndio tunahangaika Kama atapata tiba mbadala Sent using Jamii Forums mobile app
  7. villagechampion

    Tiba ya Mirija ya uzazi na mayai kutokupevuka

    Habari zenu wapendwa. Heri ya mwaka mpya. Takribani mwaka mmoja na nusu ndani ya ndoa lkn bado mdogo wangu hajabahatika kupata mtoto. Alienda Kairuki hospital akafanya vipimo akaambiwa mirija yake imeziba na mayai pia hayapevuki. Mwenye kujua tiba atusaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  8. villagechampion

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko serious ila sio huko Bukombe, Ni hapo nilipataka Sent using Jamii Forums mobile app
  9. villagechampion

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mbona siwaoni, yaan Nina shida kweli
  10. villagechampion

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo manispaa ya Ubungo Nije manispaa ya Shinyanga
  11. villagechampion

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ukiwa na mume unafanyaje? Tupe muongozo
Back
Top Bottom