Recent content by vikosi makuruti

  1. V

    Nay wa Mitego comments kuhusu Nick Mbishi

    ney ni bora ungenyamaza kimya bro,,, huwezi kujilinganisha kabisa na nikk kwenye game,,, muda mfup sana ambao nikk amekaa kwenye game amewa inspire mayank wengi sana,,,,tofauti na wewe,,,, wack no 1,,, acha mbali concious rymes,,jamaa ni bingwa wa mitindo huru TZ HANA MPINZANI MBAKA...
  2. V

    Nikki Mbishi aamua kuacha Muziki Rasmi

    """"""""kamanda unaongoza vikosi vya,mapambano kwenye battle field,suddenly unakimbia uwanja wa mapambano kisa eti huoni direct gain from the victory you are fighting for,,,,,,,damn,,,,,,,,BE,PART OF THE CHANGES,,,,,,,SASA UKIKIMBIA UNATAKA WAKINA MALCOM NAO WAJE WAHANGAIKE NA UKIRITIMBA HUU...
  3. V

    Nafasi za JKT na kigezo cha umri, waliomaliza vyuo wengi kutengwa

    habarini wadau,,, najua wengi tunategemea kujaza fom za maombi ya kujiunga na jkt mapema itakapofika mwezi wa pili,tofauti na miaka mingine,mwaka huu wasomi wa vyuo vya elimu ya juu wako wengi sana wanatamani kuingia huko jeshini,,wapo wanaoenda huko kwa mapenzi na jeshi na wengine ni kutokana...
  4. V

    Uchambuzi usio na mawaa wa uchaguzi serikali za mitaa.

    poor Analysis,,,tunataka data,,,ccm wameshinda arusha sawa,,sasa linganisha na mwaka 2009,,,,,,unasema mtwara sujui na lind,,lete data,,lete data ambazo ni zina comparative analysis,,,,,, hapa graph,lazima ziongee na sio hizo porojo,,, usikurupuke tu,,huu sio uchambuzi,,ngoja wachambuzi...
  5. V

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    naunga mkono hoja,,, nataka nijue overall ya matokeo nchi nzima,,,, chama gani kimeongoza???? kwa asilimia ngapi???? chama gani kimeshuka tukilinganisha na matokeo ya 2009????? na je kama kuna chama kimeshuka ni kwa asilimia ngap???? chama gani kimepanda tukilinganisha na...
  6. V

    Kwa waliofanya usaili Magereza

    ebana kama ni mwoga usipoteze kabisa nauli yako,,kuna panel ya timu nzima ya mpira wa miguu,,,na reserve kabisa,,,then mtu mzima unawekwa kati,,,
  7. V

    God vs satan

    My god,,my god,,
  8. V

    Ujasiriamali ni zao la kushindwa kwa Sera za kiuchumi za CCM

    ha!!!haaaa!!!! eti wabongo ni wachuuzi na sio wajasiriamali,,,daah,,, TANZANIA BANA
  9. V

    CCM ina bahati sana Kumpata Kinana, Mwigulu

    jamani acheni kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa wenzenu,,,ccm wote ni mafisadi,,kama ambavyo mmeiba 320 bil,,,,mtanzania gani waliyemtetea,si tungewasikia kwenye sakata la eacrow,,
  10. V

    Hotuba ya Rais Prof Jakaya Kikwete, Ukumbini Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    walaah nikikutana na mtu analalamika maisha magumu,naweza muongezea na vitasa kadhaa vya uso,,yaani watu wametulia wanamsikiliza uyu juha kiroho safi,,wakitoka hapo wanalalamika maisha magum,,tukisema tushikane kudai haki zetu katika mambo muhum kama hili la escrow wanaingia mitini,,,
  11. V

    Hotuba ya Rais Prof Jakaya Kikwete, Ukumbini Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    hamjui mnalolifanya,,lakini siku ipo ya kujutia hayo mnayotetea,,
  12. V

    Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    jamani huu mchezo wameucheza makusudi,,wadau nyi hamkuliona hilo,,
  13. V

    Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    unaumwa wewe sio bure,,tena unaweza ukawa na busha kama le profeseli,,
  14. V

    Hotuba ya Rais Prof Jakaya Kikwete, Ukumbini Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    adabu anayo muhongo,pinda na wote waliokwapua bilioni 321
Back
Top Bottom