Mtazamo binafsi: Viongoz bora wa Africa ni wale kabla ya Africa kutawaliwa kwakuwa waitumia mifumo asilia ya kiafrika katika kutawala na kuongoza watu wake lkn sio mifumo hii ya kikolon hata kudescribe kuwa kiongoz yup ni bora ni uongo tuu na uongoz huu wa kugoogle na kusoma vitabun vya hao hao...
The Italian Job (2003) YIFY - Download Movie TORRENT - YTS
Na kama unahitaji movies nyingine wewe nenda homepage ya site hiyo search hapo download. NB: ni torrent site so lazima uwe n torrent downloder ie, utorrent, qbitorrent
Nimechelewa kureply lkn kiufupi umesharoot simu yako kutaka kuhakikisha download hii app playstore inaitwa root checker Root Checker - Android Apps on Google Play baada ya hapo toa mrejesho
Kwa kuanza tuu je ni Windows gani unatumia, umekagua, drivers, umejaribu kutroubleshoot kama kubadilisha jina la hotspot kwenye simu yako hiyo na kuweka password off, kama hujajaribu hata kimoja embu anzia hapo
Sam inaonekana umebrick ur device kwasababu mpaka sasa ressurection remix os haijawa ported na developer wa kuaminika lkn the best way nibkudownload stock rom hapa LIST OF TECNO STOCK ROMS & DOWNLOAD LINKS | Androidvillaz then uflash kwa kutumia sp flash tools kama ndo first time unaexpirience...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.