Recent content by VIEW

  1. V

    Eti, CCM wanalalamika Odinga kuibiwa kura.

    Nawapongeza sana Wakenya kwa kukataa KUNASA na Kuchagua UHURU
  2. V

    Fagia fagia ya Magufuli

    Makonda inasemekana ni mchapakazi labda ni kweli siwezi kubisha ila ili kutuaminisha ana uwezo na creative angetolewa kwenye hili jiji la camera na waandishi mkanjanja apelekwe labda rukwa,songea,kigoma huko ili tuone ubunifu wake kuwakwamua raia huko na umasikini na si kuachwa hapa hapa kwenye...
  3. V

    Uwakilishi wetu si uwakilishi

    mfano mzuri ni wameru huchaguliwi kama we huna historia hapo jimboni itakula kwako lazma mbunge awe anjua vizuri jimbo siyo maeneo mengine unayajua msimu wa kampeni
  4. V

    Mabadiliko ya Uongozi yaja CHADEMA: Lowassa Mwenyekiti, Mbowe Katibu Mkuu

    mi napata wasi wasi na watu aina ya kina lizaboni hv utaweza kuendana kweli ya kasi ya mheshimiwa rais au we unaenda kwa kasi ya kufuatilia maisha ya lowassa maana naona huna kazi zaidi ya kumchunguza lowassa au ndo assigment yako yako hiyo
  5. V

    Waraka kwa vijana wa UKAWA: Ni wakati wa Mabadiliko

    Kila mtu huwa ana serikali yake kichwani,,kila mtu huwa chaguo lake moyoni,mi naamini kuna watu dada juliana ungependa kuwaona kwenye viti maalum vya chadema kuna watu wangependa kujiona kwenye viti maalum vya ccm ila dah its limited choice najaribu kufikiria irene uwoya anaichuliaje ccm kuna...
  6. V

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Yah achague wasukuma wenzake maana wachaga siyo watu kabisa
  7. V

    Katibu wa CHADEMA Hai ahamia CCM

    Kweli mkuu hai hali ccm si nzuri kivileeeee
  8. V

    UKAWA Arusha imeachwa with confusion and disorganisation

    Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha peperusha bendera viva lowassa vivaaaaaaaaaaaaaaa
  9. V

    Lowassa sentensi nzito "Kumbukumbu" vijana tuko na wewe mpaka Ikulu

    Hii ndiyo tofauti ya lowassa na viongozi wengi wa tanzania jamani viongozi wengi wanngea tu si watekelezaji leo hata magufuli tunaemwani ili awe raisi mzuri inabidi aisaliti ccm kwanza kama akifanikiwa kuwa rais cz hawa wanaotaka kumweka madarakani wataichafua tu sifa yake nzuri mama tibaujuka...
  10. V

    Polisi wagoma kupokea pesa za malipo mtihani darasa la saba

    Ni kweli elimu ni muhimu ndo maana lowassa anasema elimu,elimu,elimu
  11. V

    Kutoka Kigoma Ujiji: Kampeni za mkutano wa ACT-Wazalendo

    Hv act zito asipokuwepo wanweza kuafanya mkutano kweli
  12. V

    Peter Msigwa apiga mil. 200 za Lowassa, Iringa Mjini mpo?

    Hapo hajfika bado mnaweweseka kwani meanza kuona mafuriko yanavyozoa tinganga siyo
  13. V

    Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

    Le mutuz una dharau kinoma ila poa tu mungu ni wetu wote
Back
Top Bottom