Recent content by victus Damian

  1. victus Damian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kutoka kwa mwanadada huyu

    Mwanamke anayekupenda usimpoteze Kamwe ni vigumu kupata mwanamke anayekupenda kwa dhati Umri siyo tatizo, la umuhimu zaidi Tulia naye mjenge maisha Kumbuka kuwa muda haurudi nyuma huu ni wakati wako wa kupambania life Kila la kheri.
  2. victus Damian

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

  3. victus Damian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naambiwa nisubiri amuage jamaa yake nipewe Mchezo

    Watu mnakula bata tu akina sisi tunaishia kugonga mguu kwa jiwe tu
  4. victus Damian

    JamiiForums Tanzania Yaani kijana miaka 39 unamiliki gorofa Kariakoo kweli jamani hii ni haki sisi wazee tupo tu

    Ata mimi ni kijana mdogo sana na nyota ya utajiri inaninyemelea punde si punde mtakuwa mnanisema😎😎
  5. victus Damian

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

  6. victus Damian

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazee wanaogopa sana kifo kuliko vijana?

    ushawahi kukutana na Habari mbaya ya kushtua? Mshtuko wakat mwingine unaua mapema, wengi hufa kwa hofu, hofu ndio unayomuua mtu haraka, wazee wetu umri wao unaposogea picha ama habari inayomjia kichwan ni kifo, hivyo hupatwa na hofu, pengine alikuwa aishi Miaka 150lkn kwa sababu ya hofu...
  7. victus Damian

    JamiiForums Tanzania Wazee wa zamani walikuwa Fighters! Maisha yalikuwa magumu sana

    Mm binafsi mzee wangu anafuraia Maisha ya sasa anataman saiv arudi ujanani it means mambo ya Zaman 🔥🔥🔥🔥si haba
  8. victus Damian

    JamiiForums Tanzania Nimepitia mengi toka 2013 kwa kufupisha fupisha story hii mpaka 2023

    Katika Maisha Suala la uaminifu, uvumilivu na juhudi/bidii ni muhimu mno hii inawashindaga wengi sana
  9. victus Damian

    JamiiForums Tanzania Kama uki-save Shilingi Milioni moja kila mwezi, sahau kuhusu Bilioni moja

    Milioni 1 kwa mwezi, kwa mwaka m12, kwa Miaka mitano 50m sasa unafanya nn kuto kuwekeza ikazaa Zaid na zaid
  10. victus Damian

    JamiiForums Tanzania Kama uki-save Shilingi Milioni moja kila mwezi, sahau kuhusu Bilioni moja

    Wengi hufikiri Kuwa suala la kupata Utajiri ni ndani ya muda mfupi, Kustaafu mapema au kupata gawio (interest) kubwa kila baada ya muda fulani kwa haraka. Ukweli ni kwamba Kuwekeza sio chanzo cha kukufanya ushinde unakula upepo wa bahari, kutumia pesa hovyo(kula bata) au kusafiri vile unataka...
  11. victus Damian

    JamiiForums Tanzania Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

    Kuna siku nilienda Kwa mganga kutafuta huo utajiri katika harakati zetu za hapa na pale mganga si akanipa dawa nikaichimbie katikati ya kaburi nikavizia Giza liingie nikafanye jambo langu nikiamini usiku hakutakuwa na watu na sitaonekana ikafika saa mbili nikaingia katikati ya makaburi...
  12. victus Damian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

    unapata dem Unamuuliza anataka mwanaume wa vipi anakujibu; Care Attention Support Honest Ulivyomjinga unafurai na kukubali bila kuelewa amemanisha nini🤣🤣 Chukua letter zote za kwanza ujue dem anataka nini C+A+S+H=Cash Tafuta hela upendwe wewe👉👉👉
  13. victus Damian

    JamiiForums Tanzania Kufanikiwa ukiwa maeneo uliyozaliwa ni mtihani

    Kufanikiwa ni lazima uwe na connection, kufanya kazi kwa bidii/juhudi na maarifa haijalishi upo home ama ugenini maana kwenye bidii ndipo unapokutana na connection sasa we kaa kama mfuko apo utegemee kutoboa bila kusahau uvumilivu na matumaini maana huijui Kesho yako
Back
Top Bottom