Recent content by victormwita

  1. V

    Hotuba ya Rais Kikwete - Sept 2013: Akubaliana na wapinzani muswada urejeshwe Bungeni

    Nahisi busara zitatumika kwa maslahi mapana ya taifa na vifungu vinavyolalamikiwa vitaondolewa halafu muswada utapelekwa Bungeni upya. Nimelipenda neno hili la 'maslahi mapana ya taifa'. Laiti tungelitumia neno hili katika maamuzi yote muhimu ya taifa. Tusingekua na matatizo haya tunayoyaona sasa
  2. V

    Mahakama yawatia hatiani Wakurugenzi Wanne wa DECI - Waliopanda DECI kurejeshewa Mavuno

    Hizi hbr za kupona kupitia mgongo wa CCM zimefanyiwa utafiti wa kutosha?
  3. V

    Does the Age Difference Really Matter Katika Mahusiano!!!!!!!!

    Kama unahisi anaweza kuwa mwenzi mwema katika maisha, just go for him. Kumbuka relationships grow with time. Hizo differences ktk mtizamo wa maisha zipo kwa watu wote but mwisho wa siku wanaishi na kufurahia life. Age sio kigezo pekee
  4. V

    Moto mkubwa unawaka maeneo ya Mwenge kwenye Stendi ya Mabasi

    Hivi hawa jamaa wa Kikosi cha Zima Moto kazi yao ni kuzima moto unapotokea tu? Hawawezi kufanya auditing ili kuona hali ya majengo na maeneo ya biashara na kutoa tahadhari ili kupunguza athari?
  5. V

    Moto mkubwa unawaka maeneo ya Mwenge kwenye Stendi ya Mabasi

    Haya matatizo ya moto mbona yanazidi kuitesa nchi hii? Kuna haja ya kuchukua tahadhari ili kupunguza madhara yake
  6. V

    Eti wanaume huwa hawaonji mara moja...!

    Hata wanawake pia wakishaonja watarudia tu
Back
Top Bottom