Recent content by victoria2014

  1. V

    JamiiForums Tanzania EWURA imetangaza bei mpya ya Mafuta kwa June, 2015

    Petrol ni 1966 kwa dsm
  2. V

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Malimao nimeipenda. Kwa kweli gwajima ananifirahisha sana napenda kumsikiliza kila anapopanda jukwaani kwani lazima aache kituko.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Australia yagundua dhahabu nyingi Nachingwea

    Nachingwea kuna dhahabu miaka mingi wenyeji walikuwa wanachimba kienyeji wakakatazwa na serikali na maeneo yenye dhahabu yakawa yanalindwa na jeshi la wananchi
  4. V

    JamiiForums Tanzania General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres!

    Amka chukua hatua. Tubadili kocha msimu ujao tusake mataji upya hatujafunga ndoa na ccm.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Wenye magari mnakosaje huruma na kuwanyima lifti wanafunzi asubuhi?

    Kwa miaka hii ni ngumu kumpa lifti mtu usiye mjua hata kama anasoma shule ya awali hali imebadilika sana hata wazazi wanaweza kukuletea kesi usiyo ijua ukajuta
  6. V

    JamiiForums Tanzania Movie Reviews

    The hundred imeendelea jamani?
  7. V

    JamiiForums Tanzania Hii kali: Foleni toka Tazara mpaka External Mabibo

    Dar es salaam Tanzania
  8. V

    JamiiForums Tanzania Hii kali: Foleni toka Tazara mpaka External Mabibo

    Mimi ndio nimefika nyumbani muda huu kweli foleni ilikuwa hatari
  9. V

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata funguo mwingine wa gari

    Badili switch kama laki moja inatosha
  10. V

    JamiiForums Tanzania Hivi LUKU tatizo ni nini?

    Selcom au maxmalipo?
  11. V

    JamiiForums Tanzania Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

    Wewe una mudagani flp na umefaidika vipi?
  12. V

    JamiiForums Tanzania Katika wale Majambazi waliodakwa, mmoja katoka kuvisha Pete ya uchumba

    Wale wapo nje kwa dhamana alafu sio majambazi ni vibaka na huyo mzungu hakutoka bank alipanda kama tax na walimpora elfu 75 shilingi za tanzania na hawakuwa nabunduki ndio maana wamepata dhamana kirahisi na tukio walifanya mwananyamala na walikuwa wanarudi posta kuchukua abiria tena hivyo wale...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje uwe Dar es Salaam halafu hujui baadhi ya maeneo ya Dar

    Mtoa mada unaishi mkoa gani kwani? Kumbuka hata kikwete pamoja na kwamba ikulu iko posta ila naamini haijui posta yote, dar sio lindi mtu wangu.
Back
Top Bottom