Kampuni ya Australia yagundua dhahabu nyingi Nachingwea

Kampuni ya Australia yagundua dhahabu nyingi Nachingwea

Rasilimali kwenye nchi ya kiafrika ni balaa tupu. Hivi ukiambiwa Nigeria nchi iliyo kwenye listi ya wazalishaji wa mafuta wakubwa duniani wanapanga foleni sasa hivi kununua mafuta utaamini?
Aisaee... kweli mkuu !! ndo nikaomba baraka kwa M/Mungu!!
 
Kuna mtu aliwai kuniambia ile nchi ya ahadi ni tanzania kila mkoa kuna madini ya kumwaga kuna siku nilienda kule ngorongoro aisee nazani ile safina ya NUHU ilishuka pale
 
Hali ya maisha na kiuchumi inategemewa kubadilika ghafla baada ya dhahabu nyingi kugundulika huko Nachingwea.Ugunduzi umefanywa na kampuni ya Australia. Yangu: Maisha hayatakuwa tena kama huko nyuma.



Ukipplata muda nenda kasome kitu kinaitwa 'dut.h desease'
 
Tatizo si kugundua tatizo kubwa niusinamizina hili husababishwa na viongozi mbumbumbu na walafi. Neema itayeyuka kutokana na viongozi wabovu wanaowekwa madarakani kwa mfumo mbovu.
 
maumivu kwa wenyeji,kahama,nyamungo maisha ya wenyeji yapoje?

Kama huna nyumba ni mateso sana!Mambo mengine ni kawaida,wawekezaji katika biashara mbalimbali wataongezeka na hivyo ushindani utakuwa mkubwa matokeo yake kuwepo kwa huduma bora zaidi kuliko awali.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hayo madini hayajagunduliwa hizo ni dalili tu za kuwepo dhahabu.Wanaweza kuchoronga na yakawa hayapo huko chini zaidi
 
that is good info for public.
but the problem start on the establishment of laws were local community will not benefit compared to the value of the resources we have.

and this is due to the poor policy of minerals that we have which make an investors and few people who hold final decision on contract to get over benefit.

we asking for government to make amendment of minerals policy before lunching another larger contract which has less benefit if not non benefit to the community.
 
Nachingwea kuna dhahabu miaka mingi wenyeji walikuwa wanachimba kienyeji wakakatazwa na serikali na maeneo yenye dhahabu yakawa yanalindwa na jeshi la wananchi
 
Watu wa kusini wasikubali wajitenge tu wawe na nchi yao ndio watafaidi rasilimali zao
 
Hilo la kusema wamegundua dhahabu nyingi ni kutia chumvi. Wamegundua traces za dhahabu, na watachunguza zaidi ili wajue kama iko ya kutosha kuchimba kibiashara.Tuwe makini na tunayosoma.

Kwa vyovyote vile, kama tutaendelea na mikataba ya siri basi ni bure. Wakina Karimagi wale wanaosaini mikataba hotelin London wataendelea kutuibia tu.
 
Hilo la kusema wamegundua dhahabu nyingi ni kutia chumvi. Wamegundua traces za dhahabu, na watachunguza zaidi ili wajue kama iko ya kutosha kuchimba kibiashara.Tuwe makini na tunayosoma.

Kwa vyovyote vile, kama tutaendelea na mikataba ya siri basi ni bure. Wakina Karimagi wale wanaosaini mikataba hotelin London wataendelea kutuibia tu.

Mwl. karibu tena. Ulipotea sana hapa jukwaani!!
 
Tuandae kabisa bajeti ya kufukia mashimo watakayotuachia 20 years from now watakapomaliza kuilawiti ardhi ya Nachingwea.., its very painful.., inauma sana..
 
Hilo la kusema wamegundua dhahabu nyingi ni kutia chumvi. Wamegundua traces za dhahabu, na watachunguza zaidi ili wajue kama iko ya kutosha kuchimba kibiashara.

Tuwe makini na tunayosoma. Kwa vyovyote vile, kama tutaendelea na mikataba ya siri basi ni bure. Wakina Karimagi wale wanaosaini mikataba hotelin London wataendelea kutuibia tu.
Fuatilia maneno km : " potentian and significant" ndo utajua ni ikinazungumzwa hapo. ...¡°The identification of a significant new target of similar scale to Kishugu was an important development for the company¡¯s regional exploration strategy at its Nachingwea Property,¡± Hoskins says.¡°This opens up the gold potential of our tenements quite significantly outside of Kishugu,¡± Hoskins said.



Naweza kukubaliana nawe kunaweza kuwa na ka-exaggeration kwa ajili ya kuvutia kampuni za wachimbaji.


anayetafuta (explorer) madini siye anayechima (miner, exploiter).
 
Nachingwea kuna dhahabu miaka mingi wenyeji walikuwa wanachimba kienyeji wakakatazwa na serikali na maeneo yenye dhahabu yakawa yanalindwa na jeshi la wananchi

Yes! upo sahihi, nakumbuka kuna brother fulani anajishughulisha sana na uchimbaji wa madini mozambique, alinambia uwepo wa dhahabu Nachingwea, miaka mingi sana.
 
Hata ikiwapo sio ajabu kwani dhahabu wenye kazi nayo ni wazungu. Nyie weusi subirini kufukiwa na mashimo au kupigwa risasi mkiyasogelea haya madini.
 
Back
Top Bottom