Recent content by Victoria Nile

  1. V

    Kuwashwa mikono na kuchezwa na macho (kulia au kushoto)

    Nahisi kuna kitu ambacho ni siri kubwa ya uumbaji wa Mungu kwenye miili yetu. Ila ntaendelea kufatilia nijue ukweli maana mimi si mwabudu mizimu, ni mcha Mungu lakini ndoto na ishara hzi za kimwili huwa zinanitokea. I must explore the truth.
  2. V

    Kutokana na Theory hii, inawezekana wakazi wengi wa Dar ni Bongo lala

    kumbe! Muondoe saccos zenu kwenye mikoa ya joto maana watu hawawezi kuelewa unafiki wenu wa kikanda. Kumbe kenya, zimbabwe na burundi kuna baridi sana maana upinzani una nguvu! Teh teh!
  3. V

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    eti uko simiyu! Uko simiyu kimwili ila roho ni ile ya kisaliti ya kuwasaliti watanzania kwa kuwashabikia mafisadi! Ikulu kwenu ni hadithi ya kufikirika.
  4. V

    Yamenikuta

    teh teh teh oooyi! Teh teh teh!
  5. V

    Hasira kwa mpenzi wangu zimezidi

    Kuwa makini brother kwa yafuatayo: 1.Yawezekana amewahi kudanganywa na mpenzi wake Kwa kutowasiliana naye mara kwa mara au pengine rafiki yake kafanyiwa hivyo na hata uhusiano wao kuvunjika. Mtafiti pia amekulia familia gani ya uhuru, kupendwa au kunyanyapaliwa, ikiwa ni kunyanyapaliwa basi ujue...
  6. V

    Wadau hii ni kweli?

    teh teh ndivyo ilivyo. Kwa mfano unamtongoza mdada unayejua anapenda wanaume wenye usafiri au gari alafu unamweleza ukweli kuwa huna hata gari, teh si atakukata Kaaaah na kibuti puuuuh! Lakini ukiingia na swaga za gari la best yako kwa cku chache tu ulishamaliza kazi. Kauongo wanakapenda japo...
  7. V

    JK, Museven, Nkuruzinza na Kagame, One Decade In Power, Tupe maoni yako please

    it seems that, u a not a politician and if not, u a little bit, the intelligent diplomat, u wrote the reality.
  8. V

    Kwanini iwe CHADEMA tu? Kuna mkono wa mtu, Si bure!

    ni kwasababu hujui tu! Subiri utajua wakati ukifika.
  9. V

    Kwanini iwe CHADEMA tu? Kuna mkono wa mtu, Si bure!

    kule wameenda kuchukua majimbo tu baada ya kuona alama za kukatwa na Ccm, kama wasira alivyofanya miaka ya nyuma lakini baada ya hapo mbona alirudi mwenyewe.
  10. V

    Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

    poa ila ukale unaouzungumzia ndio laana inayowala japo taratibu mtakuja kujua mmekwisha, na wewe unayetetea mauaji ni muuaji pia mwenye fikra za ndio mwenyekiti, ikulu hamuingii mkiwa na laana ya damu ya chacha wangwe mlioimwaga. Subirini.
  11. V

    Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

    ndio ametumwa kama mlivyomtuma marya kumuua chacha wangwe, tambueni hamtadumu bila upanga kuwapitia tena ipo siku ile damu itawachanganya tu na kuwamaliza! Mafisadi wanaharakati na wauaji hamuwezi kuingia ikulu na laana ya kamanda wetu chacha Wangwe bado ipo juu yenu!
  12. V

    Mbatia: Mgombea tutamtangaza baada ya siku 5 Au 6

    Mara slaa mara EL ila nyie wauaji wa chacha wangwe mjue ile damu itawachanganya na kuwaumiza tu hatakama sio leo. AUAYE KWA UPANGA ATAUAWA KWA UPANGA TU. Hata toba hamuipendi mnaendeleza ubabe wa kifisadi ndani ya chama.
  13. V

    Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

    wauaji wa chacha wangwe ile damu ipo juu yenu tu mafisadi wa ndani ya chama nyie auaye kwa upanga atauawa kwa upanga pia.
Back
Top Bottom