Yamenikuta

Yamenikuta

Hahahaaaa...jmn namefurahshwa na huo mkomesho!!

Asa kwann ulmwacha?
 
Demu kauzu sana huyu na kaniambia hyo ni trella wiki ijayo anaenda kijijini kwao ikwiriri nijiandae kwa hatua zaidi.....
 
Kuna msichana ninezinguana nako kam 1 week ago.Alichofanya kachukua namba yangu ya simu kaandika bango na kabandika kwenye mti eti "MGANGA WA KIENYEJI TOKA NIGERIA."

Sasa napata simunyingi za kipumbavu every second jamani, wengine wananiongelesha kingereza cha kulazmisha cha kibongo ze ze nyingi.

Natamani kutupa line

��������

Nimecheka sana jamani.huyo msichana kweli jasiri.na kakukomesha."unapatikana wapi ninataka kuaguliwa"(kiddingg)
 
Back
Top Bottom