Hasira kwa mpenzi wangu zimezidi

Hasira kwa mpenzi wangu zimezidi

Yeye ndiyo anakujua wewe vizuri, sisi hatukujui kwa hiyo labda ni kweli ulikuwa na mtu mwingine kwa hizo siku mbili.
 
Piga chini mkuu, tafuta mwingine maisha yaendelee....maisha yana vitu ving sana vya muhim zaid ya mapenz
 
mwarabu113

Tatizo Lenu Ni Mapenzi Yenu Bado Ni Ya Kitoto, Na Mnategeena. Na Wewe Hiyo Busy Unayosema, Ulikuwa Unafanya Uumbaji?
 
Last edited by a moderator:
mwarabu113

kama hujamtafuta cku 2 afu pengine hukutoa hata taarifa unataka akufurahie tuuu.... ishi na mwanamke kwa akili mkuu

Safi sana.
Muomba ushauri fata ushauri huo juu. Husiishi na mwanamke km unaishi na mwanaume mwenzio. Tambua wanawake ni viumbe vya tofauti ishi nao kwa akili hata kwenye biblia wameandika hilo.

Ss labda nikuulize..huo ni ubusy gani kiac kwmb ukashindwa kumtext mpenzi wako ht msg fupi tu ya kumpa taarifa.

Hata ningekuwa mimi ningekujibu vibaya.
 
Last edited by a moderator:
Kwani mlikubaliana ni wewe tu ndio uwe unamtafuta? Huyo ana mapenzi ya kitoto. Tafuta hela tu, Mapenzi yatakuja yenyewe
 
Kuwa makini brother kwa yafuatayo: 1.Yawezekana amewahi kudanganywa na mpenzi wake Kwa kutowasiliana naye mara kwa mara au pengine rafiki yake kafanyiwa hivyo na hata uhusiano wao kuvunjika. Mtafiti pia amekulia familia gani ya uhuru, kupendwa au kunyanyapaliwa, ikiwa ni kunyanyapaliwa basi ujue una kazi ya kumuonyesha upendo wa kujali sana ili asihisi kuyarudia aliyofanyiwa utotoni.
 
Ivi inakuwaje kidume ukae kimya ck 2/3 bila kumjulia hal mwenzio? Endapo umezoea kuchat nae kila ck then unaona kmy na mitandaon ye ni active member mda wote ntaacha kununa looooh! Hata km n mim cwez.
 
2 days?? huo ni ubze gan

-ule muda wa kupanda ktandan kwann hata umtxt

-muda wa kupata lunch, b'fast, dinner kwann umtafute

-Muda upo kwny daladala unarud kwako kwann ucmtafute??

-Muda unachaji cm kwann ucmtafute

-Muda umeamka 9t kwenda kukojoa kwann ucmtafute

-Muda upo mezan unakula kwann ucpge ata uka2mia earphones.. yan huku unakula ukzungumza na mpnz wako

Umemkosea kwa sehem sehem kubwa sana ila ingekua ni mimi umenfanyia hvyo nngekupa makavu thn 2cjuane.. hufai kua baba wa family

Km unashndwa kuhandle m2 m1(mpenzio)ksa ubze je, utaweza kuhandle mke, watoto kwa style hyo??
 
Wadau,

Mpenzi wangu amekua mtu wa hasira sana saivu,anaweza nuna siku nzima asikutafute kwa jambo dogo tu,na hivi juzi tumeachana kwa kisa kidogo tu.

Nlikua busy kidogo kwa siku2 sikumtafuta kwenye simu na yeye hakunitafuta pia,siku ya 3 asubuhi nikamtext bebee nilichojibiwa unasemaje then yakafata majibu ya ovyo na hakutaka nimtafte tena.

Kumuulza sababu akanjbu kamuulze uliekua nae mpaka ukanisahau mimi kiukweli nikawa namshangaa tu, sasa wakuu hichi kisirani anatoa ap? Na mpka sasa kanuna na hataki hata nimtafute.

kazi ipo
 
Ivi inakuwaje kidume ukae kimya ck 2/3 bila kumjulia hal mwenzio? Endapo umezoea kuchat nae kila ck then unaona kmy na mitandaon ye ni active member mda wote ntaacha kununa looooh! Hata km n mim cwez.

unataka kunambia hujawah tingwa hata cku mja ukashindwa hata kushika simu?
 
Kuwa makini brother kwa yafuatayo: 1.Yawezekana amewahi kudanganywa na mpenzi wake Kwa kutowasiliana naye mara kwa mara au pengine rafiki yake kafanyiwa hivyo na hata uhusiano wao kuvunjika. Mtafiti pia amekulia familia gani ya uhuru, kupendwa au kunyanyapaliwa, ikiwa ni kunyanyapaliwa basi ujue una kazi ya kumuonyesha upendo wa kujali sana ili asihisi kuyarudia aliyofanyiwa utotoni.

thanks nmekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom