Recent content by victor mwigogo

  1. V

    JamiiForums Tanzania Ugomvi wa P-Square unamvyomnufaisha Diamond Platnumz

    ATA MM NILIKISIKIA KIPANDE NA KUNA VITU FLANI VYA KWENYE WIMBO WA BADO VIMEIGWA SASA WACHATUSIKIE NGOMA NZIMA ILA BADOO BADOO KUMFIKIA MOND
  2. V

    JamiiForums Tanzania Inakera kuona msanii mmoja tu ndo anapaparukiwa na makampuni

    team kiba bwana wamekosa vya kutuletea yani wameanza na wivu wa kazi za wenzao hayaaa ila kiba naye si balozi wa tembo jamani au aitoshi kulinda tembo wetu
  3. V

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu akitanua na Nyumba na Magari ya Kifahari. Mbeya mtasubiri sana

    mtoa mada umekulupuka tu coz hiyo ni nyimbo yake mpya na hapo alikuwa location du wabongo mtakufa kwa umbeya. ya MBEYA waachie wana MBEYA
  4. V

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa

    ATAKUTANA NA MUNGU HUYO COZ ANAGUSA JICHO LA MUNGU MUDA SI MLEFU ATAKUTANA NA MUNGU MWENYE KWANI MUNGU UJIPIGANIA IVYO AWEZI KUWAKOMESHA WATU WAKE
Back
Top Bottom