Recent content by Victima

  1. V

    Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Yaani huyo mshikaji Mimi sijamuelewa kabisa au anataka cheo nini , ya nini mmpangie MTU pesa yake, naisi waliopitisha sheria hii hawana nia nzuri na Rais JWT tutachukua nchi
  2. V

    Kinachoendelea huko Kusini sio ununuzi wa korosho ni unyama na unyang'anyi dhidi ya wakulima pamoja na wafanyabiashara wa ndani wa zao la korosho

    Serikali hacha ifanye kazi yake , hao walanguzi na madalali walikuwa wanawanyonya wakulima tu , kama nei ilekezi ilikuwa imetolewa kwa nini wao wanunue chini ya being hiyo ata ningelikuwa Mimi ndo Rais at a kuwakamata ningewakamata , Dr John huko Sawa , kama kweli ilikuwa amelima kwa nini...
  3. V

    UKIMWI ulivyo hapa Afrika Kusini

    Bondeni wapi kariakoo, au Africa kusini kama ni Africa kisini Mimi bana nataka kuja maana maisha ya kibongo noma, kama ni kariakoo shimoni Mimi no
  4. V

    Uume umesimama toka juzi mpaka hivi sasa baada ya kula dawa ya mtaalamu

    Endelea kufanya mapezi si ulipenda , kumkomesha mke wako endeleo ndo ulitaka hivyo , dawa hiyo ikiisha ,nguvu zako zitapungua Mara mbili , ukinywa tena zinazidi kukusimamishia kuliko hawamu ya kwanza, ikiisha tena wewe ni anisi mwezi mzima , cha msingi hacha kunywa utarudi hali yako ya kawaida .
  5. V

    Sio siri, maisha mitaani yamebadilika. Sasa ni magumu!

    Ni kufanya kazi tu kwa bidii, Mimi nina shida ya watu ambao ofisini wanajifanya miungu watu ,yani MTU unaenda ofisini MTU anajifanya kama ofisi alipewa na baba yake , basi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. V

    Wenye mahusiano ya mahaba ndani ya JF mnaturusha roho sie tusio na wapenzi humu JF

    Kwani vipi wewe domo zenge, hacha kujidharirisha
  7. V

    Nimetumbuliwa puchuu baada ya uhakiki wa mara ya pili (watumishi)

    Maisha si kwa kuajiriwa tu , hachana na woga wa maisha
  8. V

    Ninajihisi mjamzito, lakini sikumbuki ni wa nani

    Upumbavu wako ndo watu wakushauri endelea kutoka na wanaume wengine zaidi, ili furaha yako iongezeke , katubu wewe!!
  9. V

    Ndugu zanguni; wanawake wa JF si malaika, waseja au watawa

    Wewe utafiti huu ulifanyia wapi ,hacha kudhalilisha watu
  10. V

    Kwa wale waliowahi kutoa mahari halafu wakatamani/wakaingia mitini

    Oa wewe unaye penda kusumbuliwa au ndo wewe kwenye kusumbuwa ndoa za watu
  11. V

    Kwa wale waliowahi kutoa mahari halafu wakatamani/wakaingia mitini

    Sikie mzee mshauri huyo jamaa mke wake si mwaminifu kwa kuwa kama alikuwa hajapeleka mahari bado lakini akawa anamsumbua kwa kero za ndoa na bado kulikuwa na viashiria vya usaliti Leo hii, umepeleka mahari ndo kabisa hadi calls, SMS unaziona ,hacha ufara hachana naye ,aliye kwambia kwamba watu...
Back
Top Bottom