Recent content by Vicky Cruz

  1. Vicky Cruz

    Stand with amal, a humanity call.

    Daaa Mumgu akubariki huyu Amal ni mtoto wa rafiki ang na pia kwenye group zetu za shule watsup tunaendelea kupambana
  2. Vicky Cruz

    Mambo ambayo mwanaume haupaswi kumfanyia mwanamke

    YOU ARE LOST🥲🥲 WANAO WATAPATA TABU OTHERWISE UWE MZIMA MILELE
  3. Vicky Cruz

    Mambo ambayo mwanaume haupaswi kumfanyia mwanamke

    Hiyu ni mwanamke au mkeo?
  4. Vicky Cruz

    Ndoa ya Mke Mmoja ni Ukatiri wa Kijinsia kwa Mwanaume

    Kwa wanaume gan hawa hawa 🤣🤣🤣 wanaume ngoja niwapasue ukwel saiv hamna lolote nguvu hamna tunawaonea huruma tu puuuuuuuuuh.... . Hela sasa ndo mamaaaaaaa🤣🤣🤣🤣
  5. Vicky Cruz

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Wew unaongelea walimu wa miaka ipi mbona walimu sisi tuna maendeleo
  6. Vicky Cruz

    Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

    Wanaume kujeni hapa niwaambie . Ukitaka mwanamke wako akuheshimu in and out simamia majukumu yako effectively. . Ukitaka kuwa kichwa cha familia chenye nguvu stand as a man. . Ukitaka watoto wako wakupende mpende mama yao . Utanishukuru baadae
  7. Vicky Cruz

    Hivi unaweza kumvumilia mume wa hivi kweli?

    Kuna watu kwente uchumba wana act vizuri sana ila ingia nae kwenye ndoa sasa uhalisia wake utajuta
  8. Vicky Cruz

    Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu

    Huu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.
Back
Top Bottom