Recent content by Vicious Reckless Savage

  1. V

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aulizwa “Utafanya nini kukabiliana na vikwazo, Tanzania ikifanya biashara na Urusi”. Yeye ajibu “Hatuna Vikwazo vyovyote”

    Halielewi Kiingereza vizuri ndiyo maana halikuelewa hata swali lenyewe. Vikwazo kwa Urusi siyo kwa Tanzania.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Samia anajali familia na marafiki zake tu sio Tanzania!

    Ulitegemea akili za mipasho na kuimba taarab zifanye nini kikubwa?
  3. V

    JamiiForums Tanzania Nimekubali nimefilisika, kwa sasa natuliza ubongo

    Huruhusiwi kufilisika
  4. V

    JamiiForums Tanzania Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

    Simple and clear
  5. V

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

    Mtazamo kuwa thamani ya mtoto wa kiume kuzidi ile ya mtoto wa kike inatokana na mfume dume na utamaduni wa jamii iliyokuzunguka. Jiulize kwanini India na nchi nyingine, watoto wa kike wanauwawa ingali bado wakiwa matumboni mwa mama zao. Hii imesababisha India kuwa ina idadi kubwa ya wanaume...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya ushoga: Waziri Gwajima amechagua silaha kali au butu?

    Mashoga wafanye ushoga wao kwa ridhaa zao wenyewe ndani ya kuta 4 za nyumba zao. Wasiji promote na kujiachia in the public sphere. That's a big no!
  7. V

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya ushoga: Waziri Gwajima amechagua silaha kali au butu?

    Nani walikaa, kuhojiwa, kutafakari na kupitisha mkataba wowote wa kukubali ushoga kama moja wapo ya haki za msingi za binadamu? Maadili hayapitishwi na vikao wee mzee
  8. V

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya ushoga: Waziri Gwajima amechagua silaha kali au butu?

    Hata kauli yako "Gwajima is ignorant on this matter." ni ad hominem
  9. V

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya ushoga: Waziri Gwajima amechagua silaha kali au butu?

    Suala hapa ni freedom of speech ambayo hutafsiriwa tofauti katika kila jamii. Hakuna anayefuatilia mashoga wanafanya nini vyumbani mwao kama Dr Gwajima alivyosema hapo juu
  10. V

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya ushoga: Waziri Gwajima amechagua silaha kali au butu?

    Hata swali linaweza kuwa ad hominem
  11. V

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya ushoga: Waziri Gwajima amechagua silaha kali au butu?

    Unazungumza on a very abstract level ambayo haiendani na uhalisia wa maisha ya kila siku ya Mtanzania. Hata Marekani na nchi nyinigi zilizoendelea kuna uvunjaji mkubwa wa haki za msingi za binadamu kila kukicha kwa hiyo argument yako haina mashiko
  12. V

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya ushoga: Waziri Gwajima amechagua silaha kali au butu?

    Hiyo ni ad hominem ulivyo mnafiki :cool:
  13. V

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya ushoga: Waziri Gwajima amechagua silaha kali au butu?

    Hili ni suala la mmomonyoko wa maadili ya jamii ya kitanzania siyo kimataifa.
  14. V

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya ushoga: Waziri Gwajima amechagua silaha kali au butu?

    Hii siyo Phd thesis acha ushamba wewe na logical fallacies zako. Ni suala la common sense na maadili ya Kitanzania. Unatumia rungu kuua nzi wapi na wapi?
  15. V

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

    Banyamulenge hawafiki hata laki moja lakini wanawagaragaza Wanajeshi wa taifa la milioni 70
Back
Top Bottom