Mnyika kwa kweli anajiweka karibu sana na wapiga kura wake, TATIZO NI HUYU ANAYEITWA MDEEE SHE IS VERY HOPELESS, HUKU SALASALA KWA BABU MAJI YA BOMBA BARABARA YA UHAKIKA NI NDOTO, MBUNGE AKIITWA KUJADILI ANA KULA KONA
[Hiyo ya Kawe hapo unampa 'promo' tu Halima Mdee...mimi ni pro-Chadema supporter lakini sijawahi kuona mBunge dhahifu kushughulikia kero za wananchi wa jimboni kwake kama Halima Mdee. Nakubali ni mBunge mahiri kwa kushughulikia mambo ya kiTaifa, lakini Mdee hujachaguliwa na Taifa, umechaguliwa...
[QUOTE=namtumbo;5163704]Inaonekana wewe ndio mwenye taarifa za kutosha kuhusu suala hili, sasa unataka wadau tufuatilie nini? Wapelekee hao wafadhili hizo taarifa ili wafuatilie kama ni kweli pesa yao haijatumika kama walivyotaka,wtajua pa kuanzia...kuliko sisi wengine tusiokuwa na details...
my mind is open, ila mfumo ndo mbovu kwani wafadhili wangapi wameshaleta pesa zinaliwa ye anaweza tafuta hao wafadhili je hao wa chini yake wamejidhatiti kiuzalendo kuyafikia malengo,hiyo mifuko unayoisema wewe labda huo wa kawe hautashibisha matumbo ya wachache lakini wengine hawataki kuisikia...
World Bank walitoa miliono 200 ili kujenga mifereji na kuweka changarawe barabara ya salasala kwa Babu kutoka IPTL mpaka inapoungana na barabara ya lami Salasala kwa Mboma, lakini kilichofanyika ni usanii mtupu kwani mifereji wamejenga sehemu isiyozidi mita 10.
Wadau naomba mfuatilie kwani...
kwa hiyo upinzani ndo wanatunza pesa, kumchagua mtu sio kigezo cha kutatua matatizo yako kwa muda unaoutaka wewe, hata kuwe na sera nzuri bila pesa ni bure, wapigieni kelele mawaziri wenukwa sababu naamini ameshawaambia na kupiga kelele mara kibao ila si rahisi kama unavyofikiria wewe utamu wa...
Asante mkuu kwa ushauri mzuri, lakini kwa nini mbunge asije kuwashauri/sikiliza wapiga kura wake? Tatizo la salasala kwa babu ni mifereji kwani wananchi wamejitahidi sana kuchonga barabara na kuweka vifusi lakini zikija mvua zinabomoa kila kitu
Huku kwetu salasala kwa babu hana msaada wowote kama mbunge, barabara imeharibika ajabu maji hakuna, kila tukimwita ana kula corner. 2015 kura hata moja huku hapati kwa style yake hii
Ila Halima Mdee lazima abadilike, bila hivyo 2015 ataangukia pua
Wakazi wa salasala kw babu wana matatizo makubwa ya mawasiliano ya barabara na maji, kila wakimwita mbunge wao wajadili anakula corner, be serious Halima!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.