Recent content by vhududikhe

  1. V

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Yaani kama watu makini mnao fikiri ndiyo hizi fikra zenu halali nchi iwe hapa ilipo ,unazungumzia bomu la arusha ni miaka kadhaa sasa ,pia nataka nikukumbushe tukio moja ambalo mwandishi wa habari wa channel 10 MWANGOSI alipigwa risasi mbele ya RPC Sasa mimi nikuombe kitu si kila wakati...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA: Aqulina Akwilini Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza NIT apigwa risasi na kufariki; Polisi wakiri kuhusika

    Nina shaka na uwezo wako wa kupambanua mambo polisi wanakiri kuwa kunamtu kapigwa risasi ww unadai hauna uhakiki hivi ulishawai kuona kwenye mkutano wa ccm hata siku moja au mbunge wa ccm kutolewa bunguni ?? Achaa njaaa ndugu kuna mazingira ambayo hata hayahitaji kujiuliza na kama ulikuwa...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Tido Mhando ni uzalendo wake

    Hivi neno ufisadi ni nini au neno hili kwa viongozi wakubwa linabadilishwa tafsiri maana nilisikia kwa masikio yangu kwamba eti wakinananiii walipokea kiasi cha 1.6bil na wengine wakasema za shule lakini chama fulani kikawapa fomu kugombea nauliza tena ufisadi ni kuwa kinyume na serikali au pia...
  4. V

    JamiiForums Tanzania M/Kiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dkt. Vicent Mashinji wakiwasili kwenye kikao cha kamati kuu

    Mbona ccm mnashindwa kuwa na subira kikao cha CDM povu lumumba kama taifa tuna matatizo mengi acheni umbea shughulikieni matatizo
  5. V

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni mwanaharakati (Wateuliwa wengi ni liability) siyo Asset

    Mtoa mada ni ccm damu kama raisi hajawatuma mbn hatuoni tamko lolote acha kutulaza ww unauwezo mdogo wa kufikiri kabla haujapost na kusifia uwe unarudi kuangalia uhalisia kinachofanywa kwenye serikali hii ni upishi mzuri wa takwimu eti naulizaga swali kwa wana ccm wengi sipati majibu narudia...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Maoni kuhusu uteuzi wa wagombea wa Ubunge katika majimbo ya Siha na Kinondoni kupitia CCM

    Mimi najiuliza hivi fedha zinazotumika kwenye uchaguzi ni za walipakodi wa nchi hii ?na kama ni za walipakodi huyo mtuli na wenzake waliokataa ubunge ambao tayari walikuwa nao ,pili waliwasariti wapigakura wao kwa kigezo eti wanamuunga mkono raisi . Maoni yangu ;kwa wakazi wa kinondoni na...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Maoni kuhusu uteuzi wa wagombea wa Ubunge katika majimbo ya Siha na Kinondoni kupitia CCM

    Mimi najiuliza hivi hela zinazotumika kwenye za uchaguzi
  8. V

    JamiiForums Tanzania Jamani ile ndege yetu na zile dola za kutoka Acacia vipi?

    Ndugu unazungumzia uvivu wa aina gani au unazungumzia uvivu kama hoja inayotolewa na serikali yako ya ccm inaposhindwa kujibu kwanini nchi ina rasilimali lakini mpka sasa watu wake ni masikini ,unapozungumzia umasikini ,kwa pande zote mbili uvivu unaweza kuwa hoja ndogo ila serikali ni chanzo...
  9. V

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kiongozi mwingine mkubwa wa upinzani kuhamia CCM

    Hii nchi inahitaji maombi sio bure hakuna utofauti kati ya chama na taifa maana rasilimali za taifa zinadaiwa ni za ccm ukihesabi rasilimali walizonazo ccm na wanazozishikilia ni nyingi sana hivi vitu sidhani kama vipo maeneo mengine harafu leo tunahitaji uwanja sawa kwenye democrasia ya nchi hii
  10. V

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kiongozi mwingine mkubwa wa upinzani kuhamia CCM

    Najiuliza kwanini ccm wanahangaika kusajili kama hoja ni kudhohofisha upinzani au kuua upinzani haina haja ya uhangaika nendeni bungeni kwa uwingi wenu mkipeleka mswada wa kuondoa vyama vingi mtashinda then turudi kule kwenye chama kushika hatamu inaniuma sana ninapotazama mali za nchi yangu eti...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    Hivi huyu anayeuliza kuwa kuna cctv ?yupo nchi hii au ni raia wa burundi serikali yenyewe wanajua kuna cctv kamera sasa unaposema aliyekwambia au haujui kazi ya cctv kamera ??
  12. V

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amtaja Amani Kaborou kuwa ndiye Katibu mkuu wa kwanza wa CHADEMA

    Hivi hii serikali ya ccm inayojinasibu kuunganisha watanzania mbona mimi silioni hilo jambo likifanyika bali ni migawanyo kikanda na kivyama mimi nadhani imefika wakati chama cha mapinduzi kibadiri falsafa yake maana neno mapinduzi hili lilifaa wakati wa kudai uhuru na kuendelea kubaki kwenye...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipende mpira wa miguu

    Si kila kilichoko duniani umeumbiwa kukifanya au utakipenda kwahiyo kuna vitu utavipenda na vingine hautavipenda hivyo ndivyo binadamu tulivyo
  14. V

    JamiiForums Tanzania ITV hata kama ni woga huu sasa umezidi

    Harufu ya ukoloni
Back
Top Bottom