Recent content by Vhagar

  1. Vhagar

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

  2. Vhagar

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mashine hiyo..
  3. Vhagar

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    🛍️ Found exactly what I needed on Alibaba — check out this product! 👉 7.1 Tower Home Theater System Surround Sound Wooden Home Theatre System with Digital Amplifier Supporting 3D/8K
  4. Vhagar

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Add fc 26 "hag94" id yangu.
  5. Vhagar

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    18 na 19 ndio best kabisa ziko balanced vitu vingi.
  6. Vhagar

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukitaka mdumu urafiki JF, msivuane kifuniko cha utamu

    Kulwa naomba urafiki.
  7. Vhagar

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Nadhani ndilo wamefanya hawajataka kuumiza kichwa na hivi ni bure.
  8. Vhagar

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Hata game play yake Limekaa vibaya kuanzia muonekano graphics hadi game play. Yaani mfumo na graphics zake ni kama game la simu.
  9. Vhagar

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Chief-Mkwawa Konami naona ni kama wameamua kuwekeza efootball kwenye simu zaidi, yaani nilishusha la pc ni baya mno. Yaani utadhani game la simu.
  10. Vhagar

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Pc tu iwe na nguvu.. lina graphics nzuri sana. Bt mimi nilitoboka 80000 kulipata steam.
  11. Vhagar

    JamiiForums Tanzania Huu mchezo wa kufukuza kuku ufutwe. Ni udhalilishaji na ukatili kwa wanyama

    Ukatili kwa wanyama. Ni kosa na shirika la kuwatetea lipo.
  12. Vhagar

    JamiiForums Tanzania Ni kweli filamu ya Ottoman inaoneshwa Azam tv ili kuudhalilisha ukristo?

    Nchi inapotoka hiyo hiyo filamu ni ya kiislamu. Channel azam tv ni ya kiislamu. Huwezi kuitenganisha azam tv na uislamu.
  13. Vhagar

    JamiiForums Tanzania Hivi hili tatizo la njaa Afrika hatuwezi kulimaliza sisi wenyewe?

    Hap ishu ni technology tu. Nchi za wenzetu hawategemei mvua katika kilimo. Technology hatuna na kuinunua pia hatuwezi.
  14. Vhagar

    JamiiForums Tanzania Natafuta fibre cement roof sheet.

    Zipo ambazo ni asbestos free ila nadhani huenda kwa tanzania kiwanda hakuna.
  15. Vhagar

    JamiiForums Tanzania Natafuta fibre cement roof sheet.

    Ohoo boss... Uhatari wake ni wakati wa utengenezaji au hata ikishakua imetumika.. naona zipo ambazo hazina hizo fibre hatari.
Back
Top Bottom