Recent content by veyra

  1. veyra

    PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Msanii WA BongoFleva Diamond PLATINUMZ amewachana Vijana kuwa ACHENI kupiga kelele mitandaoni na KUILAUMI SERIKALI na BadalanYake FANYENI kazi
  2. veyra

    Manara Akanusha Taarifa za Kurejea Simba, Asema Moyo Wake Upo Yanga

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC. Akizungumza kupitia Manara TV, Manara alisema kuwa taarifa hizo si za kweli na kwamba bado...
  3. veyra

    Niliahidi Sitacheza Tena Tanzania, Lakini Singida Imenibadilisha – Aucho

    Kiungo wa kimataifa kutoka Uganda, Khalid Aucho, amethibitisha rasmi kuwa ataichezea klabu ya Singida Black Stars, licha ya awali kutangaza hatacheza tena kwa timu yoyote ndani ya Tanzania. Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aucho amesema amebadilisha msimamo wake baada ya kuona...
  4. veyra

    GE2025 Salum Mwalimu: CHAUMMA ikishika dola, itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Afrika

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema kuwa endapo atapata ridhaa ya kuongoza nchi, Serikali yake itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Barani Afrika. Akizungumza leo katika Viwanja vya...
  5. veyra

    GE2025 Salum Mwalim: Mkinichagua mshahara kima cha chini ni 800,000

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupita Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim amesema Serikali yake ikiingia madarakani itahakikisha inaboresha huduma mbalimbali yakiwemo maboresho ya sera ya habari ili vyombo vya habari vifanye kazi kwa weledi na kuifanya tasnia...
  6. veyra

    GE2025 Zungu: Rais Samia ameimarisha amani, utulivu na haki nchini.

    Mgombea Ubunge wa jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi imara ambaye amefanya kazi kubwa ya kuimarisha amani, utulivu na haki nchini. Akizungumza leo Agosti 31, 2025 kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania kwa Mkoa wa Dar Es Salaam...
  7. veyra

    GE2025 CHAUMMA wafurika kusikiliza sera za wagombea wao

    Baadhi ya viongozi, wanachama na wananchi wakiwa katika Viwanja vya Biafra, Kinondoni mkoani Dar es Salaam, kusikiliza sera kwenye uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Agosti 31, 2025. Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya...
  8. veyra

    GE2025 Samia: Sisi hatuendi na 'Tone Tone' tunamimina Fedha

    "Ndugu zangu Wanakondoa hapa tupo mafiga matatu, kuna mimi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mgombea ninaomba kura zenu, lakini pi ninawaombea kura wabunge hawa wawili lakini pale tunapomimina fedha ndani ya wilaya ya Kondoa...kwasababu sisi hatuendi na 'Tonetone', sisi tunamimina...
  9. veyra

    GE2025 Samia aahidi kununua matrekta milioni 10 akiingia madarakani kwa awamu ya pili

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza leo, Agosti...
  10. veyra

    Form 4 ya 2008 na 2012 ipi ilikuwa ya moto?

    Et wanaJF kati Ya form Four Ya 2008 na 2012 ipi ilikuwa Ya moto Sana 2008 chini Ya Jumanne Maghembe 2012 chini ya Joyce Ndalichako.
  11. veyra

    Ndani ya hisia kali, machozi yakimtoka Zari wakati mume wake akipigwa kwenye ulingo wa ndondi

    Zarithebosslady machozi na presha vyote kwa wakati mmoja wakati mume wake SHAKIBU alikuwa akipokea makonde kutoka kwa rickman hapo jana. Unamshahuri nini Zari. *** Mwanamama mfanyabiashara mrembo, Zari Hassan maarufu ZariTheBossLady alionekana kutetemeka sana baada ya mumewe, Shakib Cham...
Back
Top Bottom