Recent content by verykeys

  1. verykeys

    JamiiForums Tanzania Zitambue benki kuu za nchi mbalimbali zilizo kiganjani mwa familia tajiri duniani

    Familia ya Rothschild ni familia yenye matajiri ikishuka kutoka chini ya Mayer Amschel Rothschild mwenyewe, kutokana na sababu za kisheria kwa Landgraves ya Ujerumani ya Hesse-Kassel katika Jiji la Frankfurt, Rothschild alianzisha benki yake katika miaka ya 1760s Tofauti na mambo mengi...
  2. verykeys

    JamiiForums Tanzania Zitambue benki kuu za nchi mbalimbali zilizo kiganjani mwa familia tajiri duniani

    Familia ya Rothschild ni familia yenye matajiri ikishuka kutoka chini ya Mayer Amschel Rothschild mwenyewe, kutokana na sababu za kisheria kwa Landgraves ya Ujerumani ya Hesse-Kassel katika Jiji la Frankfurt, Rothschild alianzisha benki yake katika miaka ya 1760s Tofauti na mambo mengi...
  3. verykeys

    JamiiForums Tanzania Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    mzee baba unaweza ku encrypt file then ukatuma tu. so mtu anaona umetuma email ila hawez jua umetuma nn ndani yake, ila kuna private internet ways zinatumika, yan natumia internet ya cafe ila nachange gateways napata private internet(VPN) then nafanya yangu.
  4. verykeys

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla

    ushaambiwa madicteta wao wana akili. ndo mana china inakuwa. hapo mbele malizia wewe sasa ili kubalance point yangu.
  5. verykeys

    JamiiForums Tanzania Ni upi ushauri wako kwangu kufikia financial freedom?

    m mh hv hakuna miti inayochukua miaka japo minne au mitatu
  6. verykeys

    JamiiForums Tanzania Polisi Dodoma: Mwenye taarifa kuhusu waliompiga Lissu risasi apeleke polisi

    kuichukia serikali ni jambo lisiloepukika mpaka 2020
  7. verykeys

    JamiiForums Tanzania Mchochezi ni mtu wa aina gani?

    kama ni hivyo basi hata wanafunzi wanaoenda shule za private na wamechaguliwa shule za serikali ni wachochezi. au unaonaje na hiyo.
  8. verykeys

    JamiiForums Tanzania Polisi yampiga marufuku Msigwa kufanya mikutano ya hadhara jimboni kwake, aamua kukimbilia Mahakamani kudai haki yake

    aya bac acha niendelee kusema ni kondoo wa changudoa
  9. verykeys

    JamiiForums Tanzania Mchochezi ni mtu wa aina gani?

    Natamani kujua mchochezi kwenye nchi yangu ni mtu wa aina gani. Wakiongea wengine ni wachochezi ila akisema yeye tusiwasikilize hao ila tumuunge yeye tu mkono hiyo sio mchochezi. Mtu mwingine akisema hali halisi iliyo nchini ni mchochezi, akisema yeye hali halisi iliyo nchini sio mchochezi...
  10. verykeys

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kughushi vyeti iliyofunguliwa na Boniface Jacob dhidi ya Paul Makonda kuanza kusikilizwa leo

    limekuja kipind kizuri sana waandishi nawaombeni muonyeshe mmemalizana na bashiii so mtoe habari zake kuhusu hili swali
  11. verykeys

    JamiiForums Tanzania Polisi yampiga marufuku Msigwa kufanya mikutano ya hadhara jimboni kwake, aamua kukimbilia Mahakamani kudai haki yake

    kwan kondoo wa bwana ni akina nani. au we mwenzetu kondoo wa changudoa.
  12. verykeys

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Sababu kwanini Scotland Yard na FBI hawana uwezo wa kuchunguza Kushambuliwa Tundu Lissu

    haha hakuna kichwa maji kama wewe.. kwa hyo serikali yako ndo ina uwezo wa kuchunguza. wakati hata ishu ya kibiti tu imewashinda. mange kimambi tu mmeshindwa kumkamata na mnajua anaishi marekani kila kukicha anapost vitu mtandaoni. kwa kukusaidia tu kidogo kwenye hizo points zako, princess diana...
  13. verykeys

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    if its true am soo happy. me mtoto wangu akishinda na njaa akiniuliza kwa nn namwambia chakula katunyima sizonje ili akue nayo hiyo chuki akijua ukoo wa sizonje ni mbaya
  14. verykeys

    JamiiForums Tanzania Almasi ya Bilioni 32 inayodaiwa kukamatwa Uwanja wa ndege Dar ni Uongo wa karne!

    ukielewa sentesi hiz ndo utajua anachomaanisha huyu jamaa, mtu kanunua nyama yenye UZITO wa MITA mbili? au kakimbia umbali wa Lita tatu?
Back
Top Bottom