wala sio kipato, changamoto kubwa tunazo kumbana nazo kutoka kwa ndugu zetu, wakija kwetu kututembelea wanashindwa kuendana na life style yetu.
Nilipata mgeni Shemeji yangu ni anapenda music vibaya mno tukitoka kwenda kazini huku nyuma anafungulia mziki sauti kubwa mala singeli mala bongo...
Aman iwe kwenu wapendwa,
Leo nataka nizungumze na wanawake wenzangu ambao wameolewa na wanaume washika dini (walokole) sjui kwa waislam wanaitwaje.
Binafsi namshukuru Mungu nimeolewa na mwanaume mshika dini tena mwenye hofu ya Mungu. Nimekua na maisha yenye furaha maana mimi na hubby wangu...
sio kweli, inategemea NTU Na NTU. mm nimesomeshwa na mume wangu miaka mitatu cjawah kuchepuka Chuo japo changamoto ni nyingi ila nilipambana. msitishe watu chuoni kila ntu naakili yke
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mwanandoa anae jiheshimu, hawezi weka PC za ovyo mtandaoni. sasa ndugu na jamaa wakiona c watakuona unamatatizo.
wanaoweka pc za kibinua makalio asilimia kubwa hawajaolewa hapo ndo wanatafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.