Recent content by Vera ginger

  1. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu anajamba sana akiwa usingizini

    Dalili ya vidonda vya tumbo au tayari anavyo Gesi inasumbua Nenda hospital ya kueleweka sio za mitaani
  2. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Daah kuna mtu ameonekana yupo stage 4,hakuwa anajua kama ana cancer,kupimwa kaonekana hivyo cancer ya kibofu, yupo mzima hakuwa anaumwa
  3. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Je, Matibabu ya saratani na kisukari kwa tiba mbadala ni uhalisia?

    Aliponaje mkuu? Ndugu yangu anashida hiyo
  4. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hamisa kutimkia Honeymoon Maldives (mwezi mmoja)

    Dna ilionyesha mtoto ni chibu,sema mama ake alimshinikiza akatae kuwa sio wake, ndio maana Hamisa alimpa ruhusu atafute nchi yoyote anayotqka na wapime live But aligoma Sasa huoni kuwa ana lake jambo
  5. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto

    Mtoto wa 3 anaitwa nani? Ni wawili jamani
  6. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ogopa kulala kwa watu wewe Ohooo popobawa wapo
  7. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Najuaje location ya mtu ambae hataki kupokea simu yangu

    [emoji39][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Natumia Biblia kutatua changamoto ( Updates: Kwa sasa sifanyi tena hii kazi)

    Anzisha whatsapp group Kule watu wanakuwa serious,akiingia anajua nini anataka,tofauti na humu Jokes sna
  9. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Natumia Biblia kutatua changamoto ( Updates: Kwa sasa sifanyi tena hii kazi)

    Kwanini usianzishe whatsapp group mkuu?
  10. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nakuomba inbox pls
  11. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hata sijui Ameamua kuwapotezea Tena aliwauliza nafunga home mnaniambia bei kubwa hivyo Hawakujibu Lbd walijua ni boya ili wampige
  12. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kuja kufunga walimwambia jamaa laki 8 na 85 Akabaki anashangaa
  13. Vera ginger

    JamiiForums Tanzania Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

    [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom