Mchumba wangu anajamba sana akiwa usingizini

Natangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu.

Mchumba wangu na mm wote tunatoka kijiji cha Mwaya-Kyela ya vijijini.Baada ya kumaliza Chuo ndiyo nikaenda kijijini kumchumbia kisha mm nikarudi Dar kuendelea na kazi wkt taratibu za harusi zinafanyika.

Mwezi wa nne mama mkwe wangu mtarajiwa akapata matatizo ya kiafya,aka andikiwa rufaa aje Muhimbili na mm ndiyo nikawa mwenyeji wao nikawapokea!

Kwa mara ya kwanza nikaanza kulala na mchumba wangu chumbani na ndiyo nikashuhudia mambo ya ajabu sana.Mchumba wangu anajamba ushuzi unao nuka sana non stop akiwa usingizini na yy huwa hajijui kama anajamba maana ukimuambia asubuhi huwa anakataa kabsa.

Nikajua labda shida ni vyakula vya vijijini alivyo zoea na akipata vyakula vya kuungwa vya mjini hali labda itapungua,lkn kinyume chake ndiyo kujamba kunaongezeka na yananuka zaidi.

Kuna jamaa yangu ni daktari alimpa dawa kwa kumdanganga ni dawa ya tumbo lkn haijasaidia.

Hali hii ya uchafuzi wa hali ya hewa chumbani inakatisha sana tamaa,tafadhali kama kuna ushauri wowote hasa kama kuna mtaalam unamjua ana weza tibu tatizo hili naomba uniandikie

Nashukuru sana.
Dalili ya vidonda vya tumbo au tayari anavyo
Gesi inasumbua
Nenda hospital ya kueleweka sio za mitaani
 
Jitahidi awe anakula mapema dinner ikiwezekana kabla ya saa Moja jioni awe ameshakula dinner. Hii itasaidia kuwa chakula kiwe kina meng'enywa kwa wakati.
 
Natangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu.

Mchumba wangu na mm wote tunatoka kijiji cha Mwaya-Kyela ya vijijini.Baada ya kumaliza Chuo ndiyo nikaenda kijijini kumchumbia kisha mm nikarudi Dar kuendelea na kazi wkt taratibu za harusi zinafanyika.

Mwezi wa nne mama mkwe wangu mtarajiwa akapata matatizo ya kiafya,aka andikiwa rufaa aje Muhimbili na mm ndiyo nikawa mwenyeji wao nikawapokea!

Kwa mara ya kwanza nikaanza kulala na mchumba wangu chumbani na ndiyo nikashuhudia mambo ya ajabu sana.Mchumba wangu anajamba ushuzi unao nuka sana non stop akiwa usingizini na yy huwa hajijui kama anajamba maana ukimuambia asubuhi huwa anakataa kabsa.

Nikajua labda shida ni vyakula vya vijijini alivyo zoea na akipata vyakula vya kuungwa vya mjini hali labda itapungua,lkn kinyume chake ndiyo kujamba kunaongezeka na yananuka zaidi.

Kuna jamaa yangu ni daktari alimpa dawa kwa kumdanganga ni dawa ya tumbo lkn haijasaidia.

Hali hii ya uchafuzi wa hali ya hewa chumbani inakatisha sana tamaa,tafadhali kama kuna ushauri wowote hasa kama kuna mtaalam unamjua ana weza tibu tatizo hili naomba uniandikie

Nashukuru sana.
Muingize ndizi mkunduni, ukiona inazama yote basi huyo ni muathirika wa kushikishwa ukuta bila idhini yako.....wapo wengi sana hapa mjini. Hawa kina Lulu Diva ni miyeyusho sana, utamuona mzuri kumbe ni muathirika wa kujifila na matunda mitandaoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom