Recent content by VEO

  1. V

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    Utani ni reflection ya ulivyo! Akili yako inakutuma VEO ni Village Exec Officer tu ehh? Jamvi uliambiwa wanavijiji hawamo?Ingekua ivo basi M.Mwanakijiji asingekuwemo humu.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Daudi Mwangosi: Ushuhuda wa kilichotokea hadi kifo chake

    nasikia hasira sana hadi naishukia nchi yangu!
  3. V

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    Mijitu mingine bana.Imekuwa mwili tu,Akili zero!
  4. V

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamfungulia kesi Nape

    Tunahitaji sinema hizi?..Upya wa maisha??? nadhani zinaongeza machungu maana zinakwangua rasilimali zetu zaidi. Kesi na mazagazaga si sinema..ina malipo yake ndugu yangu.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika tambi

    Kweli limbwata lako chiboko! hadi yeye analiitisha liwekwe! Itabidi tuombe somo spesho.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika tambi

    Mwambie ajue. Wanaoshobokea "ohh sili chakula ila alichopika mke wangu" mpoooo?
  7. V

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mtoto wa Oscar Kambona ajiunga na M4C, wengi wajiunga

    Hapo umesema vema kabisa. Inherent tendency ya "kurithishana" katika tawala za kiafrika. Hatuachagi asili.Asili katika tawala na uongozi siyo malikitu zama hizi. Uchifu ulishafutwa lakini bado twakumbatia kurithishina.Kibaya zaidi hao " watoto" wenyewe ni mijibaba na mijimama yenye watoto na...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu: Hatujahesabiwa

    asa weye unataka kutufukizisha kazi? Ungekuja ofisini mwenyewe usisubiri kufuatwa. Kesho basi au vp? VEO
Back
Top Bottom