Recent content by venossah

  1. venossah

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

    Alijua kila mahali ni pa kupayuka. TRA wamfuatilie zaidi...
  2. venossah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: 10% Chanzo cha Makonda kumharibia Sandaland

    Sasa hii hasara sandaland atasaidiana na nan jmn? Huruma kwa kweli
  3. venossah

    JamiiForums Tanzania Diva aomba michango kwa waja, ili alipe kodi ya nyumba

    Kajisahaulisha alichotufanya...ety
  4. venossah

    JamiiForums Tanzania Brother Evelyn Salt yuko wapi? Bring Back Evelyn Salt

    Dada chumvi ni mwanaume mwenye tabia za kike.😅 Da pipi nishushe.
  5. venossah

    JamiiForums Tanzania Yuko Wapi Diamond Platnumz? Why hajakuwepo kwenye 30th anniversary ya bongo flava?!

    Dudu baya alishasema "lile jukwaa hawapandi watu wanao....😅
  6. venossah

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Zanzibar Hamad: Anayechonganisha Muungano atakufa na atazikwa kwa chuki hiyo

    Hata Mungu anaona watanganyika tunanyonywa , ndo mana wanaanza kuchokonoa wenyewe ili tupate sababu ya kuuvunja.
  7. venossah

    JamiiForums Tanzania KERO Kwenye suala ya huduma ya Fibre, TTCL ni wababaishaji sana

    Pengine huduma (miundombinu) haijafika mahali ulipo. Jaribu kampuni zingine.
  8. venossah

    JamiiForums Tanzania Ngarenaro wamkataa Dogo Janja, wadai tokea awe Diwani hajawa karibu na wananchi

    Dogo janja haelewi nini maana ya uongozi wala namna ya kuongoza. Wanamuonea bure.
  9. venossah

    JamiiForums Tanzania Nielimishwe: Je, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ukivunjika baadhi ya mikoa ya Tanganyika ni himaya halali ya Zanzibar?

    Hivi zanzibar wanatumia mtaala gani wa elimu?? Mbona kama mambo mengi hawayajui (hasa historia ya TZ)
  10. venossah

    JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

    🖕🖕
  11. venossah

    JamiiForums Tanzania Diva the Bawse vs Wasafi Media; Mnyukano, watoleana Siri

    Huyo Diva tokea mwez oct kwenye zile kampem zao nilishamuona hamnazo. Lolote limkute.
  12. venossah

    JamiiForums Tanzania Dina Marios anavyopiga pesa za Wanawake waliozikacha ndoa zao

    🚮🚮🚮
Back
Top Bottom