acha uongo wewe, usidhani watu ni wapumbavu ww! huwa kuna msemo wa kiswahili "lisemwalo lipo na kama halipo basi laja" usidhani hao wanaojitetea ni wasafi noooo! hata kama ni wewe ungekuwa na tuhuma lazima ungekomaa ujisafishe hata kama unajua umechafuka coz ukikubali means umekubaliana na...
nilimsikia jana huko mikoa ya kusini akiwa na kinana,kwa kweli huo ni unafiki wanafanya kwa watanzania,iweje nape aanze kuisemea cdm wakati ana yake ya kuzungumza kuihusu ccm? mbaya zaidi ni ile wanavyolalamika kuwa serikali haichukui hatua kwa watu wanaoshindwa kutimiza wajibu wao ilihali wao...
hii serikali ya ccm ishaotuona cc watanzania ni wapumbavu sana, they have to step aside! tujaribu aina nyingine ya serikali tuone, CCM washatuchezea sana, wanakula hii nchi hadi ishakuwa kero,uozo mtupu! nashangaa anachofanya kinana na nape huko mikoani ni unafiki mtupu kwa watanzania, iweje...
Kiukweli kama ni kweli, hii ni fedheha kubwa sana kwa Tanzania na viongozi waandamizi wa serikali, wanatakiwa wajibu hili suala na kama ukweli ukibainika hatua kali zichukuliwe, hata kama china wanatusaidia lakini sio kwa vitendo kama hivi
Kiukweli kama ni kweli, hii ni fedheha kubwa sana kwa Tanzania na viongozi waandamizi wa serikali, wanatakiwa wajibu hili suala na kama ukweli ukibainika hatua kali zichukuliwe, hata kama china wanatusaidia lakini sio kwa vitendo kama hivi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.