ole moringe
Member
- Apr 11, 2013
- 27
- 17
wadau ninapofuatilia mikutano ya kukijenga chama huko mikoani naona upotoshaji mkubwa aufanyao huyu katibu mwenezi wa ccm wa kulalama eti cdm wameamuua kusimamisha wagombea katika kila kitongoji au mtaa na hivyo kukiuka makubaliano waliyoyafanya na ukawa...mou...hapa najiuliza,je yeye ndo msemaji wa kina mbatia na prof lipumba?ninachokiona anajitahidi kuwahadaa wananchi ili wajitenge na UKAWA lakini afahamu kwamba wananchi tupo macho na umoja wetu..ukawa unazidi kuimarika na ndio tegemeo letu...huku mikutano ya lipumba ikishamiri na ya cdm ikitikisa..ama kweli huko mjengoni kuna wengine hawatamani kuwepo kwa kuwa nyumba zao zinaungua moto...in UKAWA we believe...