Mara baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na mpenzi wangu kwa muda mrefu usiopungua mwaka na miezi kadhaa nilijaribu kutafuta suluhu kadri ya uwezo wangu na haikufua dafu.
Nilipata msongo wa mawazo juu ya suala hilo kwani sikuwahi kufanya udanganyifu, hata kumjibu vibaya lakini amebadilika na...
Mahitaji muhimu ni ulezi 1kg, mahindi 1kg, karanga 1/4, mchele 1/4, ngano isiyokobolewa 1/4.
Chambua viungo vyote Kisha uvisafishe baada ya hapo vianike Juani vikauke vizuri.
Kaanga karanga kisha ondoa maganda yote, baada ya hapo changanya viungo vyote kwa pamoja, saga lishe yako tayari kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.